Hivi ndivyo Eric OMONDI alivyoirudia wimbo wote wa Diamond PLATNUMZ- Nasema Nawe (VIDEO)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mara ya kwanza niliona vipisi vya hii video kwenye ukurasa wa Eric Omondi wa Instagram.. nikaviweka hapa alafu nikawa na hamu sana kuiona video kamili.
Katika pitapita zangu nimekutana nayo video kamili, Eric Omondi kaifanya REMIX ya wimbo wa ‘Nasema Nawe‘ ya Diamond Platumz, yeye yake ameiita ‘Nabeba Mawe‘

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hahahahahahahaha so funny Erick we Chiz tu.

    ReplyDelete
  2. Very funny! Ila sasa asizidi. Huu wimbo wa pili kumuiga.

    ReplyDelete
  3. Hahahaaaaaaaaa uwiiiiiiiij mbavu zangu jamaniii ila iko poa Tu.

    ReplyDelete
  4. Ni commedian akipata mahali kuna mwanya wakufanya kaz ye hujitosa mzima ila hap akazidi hehehehe

    ReplyDelete

Top Post Ad