AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mara ya kwanza niliona vipisi vya hii video kwenye ukurasa wa Eric Omondi wa Instagram.. nikaviweka hapa alafu nikawa na hamu sana kuiona video kamili.
Katika pitapita zangu nimekutana nayo video kamili, Eric Omondi kaifanya REMIX ya wimbo wa ‘Nasema Nawe‘ ya Diamond Platumz, yeye yake ameiita ‘Nabeba Mawe‘
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
hahahahahahahaha so funny Erick we Chiz tu.
ReplyDeleteVery funny! Ila sasa asizidi. Huu wimbo wa pili kumuiga.
ReplyDeleteHahahaaaaaaaaa uwiiiiiiiij mbavu zangu jamaniii ila iko poa Tu.
ReplyDeleteNi commedian akipata mahali kuna mwanya wakufanya kaz ye hujitosa mzima ila hap akazidi hehehehe
ReplyDelete