Kadinda: Sipendi ‘Drama’ za Wema, Team Wema Msinitusi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Meneja  wa staa mrembo, mjasiliamali  na mwigizaji  wa filamu, Wema Sepetu , Martin Kadinda ametoboa kuwa anapenda kila kitu kuhusu Wema isipokuwa  ‘drama’  zake na kuwasihi watu ambao ni mashabiki na watetezi wa Wema Sepetu kwa kila jambo huko mtandaoni maarufu kama Team Wema wasimtukane .

Meneja huyo ambaye ni mbunifu wa mavazi aliyasema hayo hivi juzi kati kwenye ukursa wake mtandao mara baada ya kubandika picha ya Wema akiwa ndani ya ofisi ya Hospitali ya kimataifa ambayo imeingia mkataba na Wema kuwa Balozi wa hospital hiyo.

Sichoki Kumwomba Mungu... Naamini ipo siku tutafika kileleni.....  I love Every thing Abou tHer kasoro drama tu  team wema msinitusi”- Kadinda aliandika.

Na kweli team Wema walimstahi meneja huyu.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WEE KADINDA MKIMBIE HUYU MAMMA HURUMA, WANAUME WENZAKO WANAKUONA KAMA KUWADI NA MSENGE ASIYE NA MPANGO BALI KUMTAFUTIA WEMA MABWANA WA KUMUOA. HUONI NOMA? FAIDA GANI UNAPATAA KWA WEMA? MOVE ON!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad