Ndoa ya Shetta imevunjika…Mke Aondoka Nyumbani Week Sasa ..Sheta Amnunulia Gari ili Kumrudisha Lakini Mke Kakataa..Kisa Rose Ndauka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wiki kadhaa sasa zimepita toka tuweke skendo ya Mwanamuziki Shetta Kulala Hotel na chumba Kimoja Huko Morogoro Walipokwenda Kwenye mazishi ya Abdul Bonge..

Sasa kilichofatia baada ya Skendo hiyo ni mke kuondoka nyumbani  baada ya skendo hiyo kuzagaa mitandaoni na magazetini na Baada ya baadhi ya watu kumzibitishia..

Shetta mwenyewe amekiri walilala Hotel moja lakini sio chumba kimoja kama watu wanavyosema ..
Shetta kwa sasa yupo katika harakati za kumrudisha mke wake nyumbani ili walee mtoto wao amemnunulia gari aina ya Toyota Mark X lakini mkewe bado amekataa kurudi nyumbani..
shettatz" Asante Mungu kwa hichi kidogo ulichonipa Mamake Qayllah na mwanangu @officialqayllah kidogo nao wajisikie raha #StriveForGreatness #ShikoroboTourLoading "

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ...laana za babako kupiga watu bila sababu!

    ReplyDelete
  2. MNAZIDI NA NYIE WASANII !!!

    ReplyDelete

Top Post Ad