Pale Unapokuta Mkeo Katuma Picha zake za Uchi kwa Mwanaume Mwingine

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimeishi na mke wangu wa ndoa kwa miaka kama 10 hivi sasa. Ila ndani ya muda huo ndani kumekuwa na migogoro ya hapa na pale ya kutoaminiana.

Ila katika hali hiyo yeye ndiyo alikuwa ananishutumu mimi kuwa nina michepuko na yeye kujiona yupo innocent kama malaika. Lakini juzi kati hivi, katika pita pita yangu nikgundakuna mwanaume yupo nae busy ofisi kwake.

Nilipomuuliza akaribu kutoa utetezi ambao sikuridhika nao, nikaanza kumfutilia kimyakimya kenye simu zake na email zake. Siku ya siku nikkutana na chats kwenye whatsap baina yake na huyo mwanaume na mke wangu akimtumia huyo mwanume picha zake akiwa mtupu kigia kwenye kitanda chetu.

Hebu nipeni ushauri, maana hatua ya kwanza niliyoichukua ni kumrudisha kwa wakati natafakari maamuzi ya kudumu. Mpaka sasa yupo kwa mjomba wake.

Advice please guys
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wanawake hawaanz frm nowhr kucheat jiangalie tabia zako kwanza je unamheshim kama mkeo, unamwonesha upendo ambao anadeserve as a wife? Wanawake wengn wanaamua kucheat kwasababu hapat upendo kwa mme wake unakuta mume ndo yule wa kurud saa tisa za uck na wakat mwngn asbh, outing zake ni yy na marafik zake hana habar za mke wala watt unakuta ule upendo unapungua taratibu mwsho mwanamke anaamua kucheat

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeongea point kabsa mdau sina cha kuongeza, ww mwanaume ulieomba ushaur soma hapa kwa makin na uelewe, hata mim ni mwanamke nna ndoa ya 4yrs ila mume ndo hvo kuchelewa kurud, wkend zote yy na marafik, weekdays kazn, hana upendo kabsa na familia watt hana mda nao hata kuwapeleka beach au wap hana habar weekend anarud kalewa anashnda kalala limzgo akiamka anatoka anaenda tena kwa washkaj, uwa naumia sana mpk nafikiria kucheat

      Delete
  2. danganyaneni tu,mwisho wa siku nchi yetu itakuwa mikononi mwa wageni na hatuna ujanja ,ukimwi ukimaliza watu,na ajali za uzembe wa miundo mbinu barabara mbovu,na baadhi ya madereva wazembe,wachina ,majirani zetu,kutokana na kizazi chetu kuweka starehe ya mapenzi mbele kwanza badala ya kazi ,tutakuwa watumwa tusipo angalia,miaka 25 ijayo.Shilingi inazidi kushuka wanawake wetu wanapenda wageni,na vijana wetu wanapenda wazungu kuliko wazawa unategemea nini? Mungu atusaidie, masoko ya bidhaa zetu yapo kibao nje ni uzembe wa idara zetu mfano soko la madini lipo kwanini balozi zetu sisiweke utaratibu wa kuuza nchi husika za ulaya na amerika? tatizo ni nini? wakati wako watu au jumuiya au wafanya biashara katika hizo nchi?

    ReplyDelete
  3. kweli kabisa umenena ndugu kazi kwanza mapenzi baadaye maana maisha ya sasa ni magumu sana na yatazidi kuwa magumu. yatupasa kufanya kazi kwa jitihada zetu zote. halafu wanawake wengine bwana wanakatisha wanaume zao tamaa make mwanaume akipata ela akamuhusisha mwanamke hiyo ela waifanyie nini wanawake waliowengi wanafikiria starehe tu, badala ya kumwambia mambo ya kuwajenga ataanza hoo mara kumetoka fasheni mpya ya nguo, viatu n.k kwa kweli wanawake tunaboa sana wanaume ndio maana wanaume wanafanya mambo yao bila kutushirikisha sisi wanawake make mwanaume akishakujua kwamba akili yako ni ya kubomoa na sio kujenga basi hata siku moja hawezi kukushirikisha katika mipango yake ila akishajua kwamba una akili ya kujenga basi kila jambo atakushirikisha. Wanawake wenzangu tubadilike tuache lawama.

    ReplyDelete
  4. unauliza jibu?fanya maamuzi magumu....!

    ReplyDelete

Top Post Ad