AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Hii ni Moja Kati ya Picha za Wema Sepetu zinazorushwa mtandaoni toka Jana zikiwa Hazina maelezo ya Kutosha kama ni mgonjwa ama ni Project ya Movie! Picha zinaonyesha Mazingira ya Hospitalini akihudumiwa na Manesi....
Mashabiki wake wengi leo wanauliza Je ndio Matibabu ya Kupata Mtoto yameanza ?
Hii imekuja baada ya habari kuzagaa kuwa Waganga mbali mbali wamejitokeza Kumsaidia ili kutatua tatizo lake la kutopata ujauzito..
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
MMMMMMMMMMMMMMMMMMMhhh
ReplyDeleteudaku acheni usenge,, hiyo ni movie
ReplyDeleteAcheni kumsakama Wema jamani mtoto ni mapenzi ya mungu wapo wengi tu hawana watoto kwani hamna kitu kingine cha kuandika zaidi ya wema?
ReplyDeleteWatu wameisha kuchoka na hizo action zako
ReplyDeleteKama anaumwa ugonjwa mwingine je mtasemaje?mbona yeye yupo peace au mmekosa habari ya kuandika?
ReplyDeleteWema ziba masikio, songa mbele. Hata kama ndio unatibiwa kupata mtoto INAWAHU! Wengine mnaringa tu na watoto wenu si ajabu MIZINDUNA!
ReplyDelete