AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Baada ya zile Picha za Mrembo Wema Sepetu akiwa na Mshindi wa Big Brother wakifanya shopping kuzua maswali mengi mtandaoni hapo juu nimekuwekea zingine wakiwa kiwanja cha starehe Escape one wakila bata kwa raha zao huku ukaribu wao ukionekana zaidi kwa kufutana jasho na muda mwingine kushikana shikana huku wakinong'onezana kwa chini chini....
Tupe Maoni yako
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
AMEZITABILA JASHO, ZITAKWISHA KWISHA THEN ATAKUKIMBIA... MJANJA DIAMOND,,,,
ReplyDeleteHiyo itakuwa ni project nyingine baada ya wanjera!
ReplyDelete