Super Staa Lemutuz Asema Sababu Inayomfanya Achelewa Kuoa Mpaka Sasa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Lemutuz Katika Ukurasa wake Amefunguka na kutoa sababu moja wapo ambayo imemfanya mpaka sasa hajachukua uamuzi wa kuwa na jiko :

'Kuna vitu siviamini kabisa in mylife mojawapo ni kufanyiwa anything na Mbebezz wako cause siku zote ninaamini Mwanamme ndiye anayetakiwa kumfanyia Mbebezz...kuna wakati nilikuwa nmdate mbebezzz mmoja hapa town akaninunulia Benzi so aliponiletea I was like are U kidding me or what?.....yaaani unataka niwe mtumwa wako hahah ni LE MARIOZZZZ hahaha NO way if anything Mbebezzz ninunulie labda perfume tu basi lakini zaidi ya hapo hapana.....na ndio maana ninachelewa kuoa cause nataka nikifikia siku ya kuoa niwe na kila kitu on my own sio ohhh nilikukuta huna kitu gademeti hahaha no please....Na hata mbebezzz nitakaye muoa Mali yangu ni yake ila mali yake sihiitaji U know sijawahi na I wll never be LE MARIOZZZZ hata nilipokuwa mbelezzz Majuu mambo ya kuoa nipate makaratasi niliyakataa kata kata Mamen usiwe mwepesi sana kupokea pokea vitu vya mabebezzz sometimes hujui kanunuliwa na nani so wote mtaishia kuwa watumwa wa anayemnunulia hapa mjini U know hahaha jioni njemazzz! - le Mutuz
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  2. UKISTAAJABU YA DOMO, UTAYAONA YA TUMBOS..

    ReplyDelete
  3. nani alomuuliza? anataka azungumziwe kama Wema,ukubwa wa mwili sio wa akili.

    ReplyDelete
  4. waloowa wanajulikana siyo wewe na Almasi kiki za kijinga mlokuanazo.

    ReplyDelete
  5. haahaa that is zoo true, this is kind of man i want to mary, not dush bag lol

    ReplyDelete
  6. Kila April fool jamaa anazidi kuwa mjinga.

    ReplyDelete
  7. Eti nataka ikifika siku ya kuoa niwe na kila kitu,mzee mzima unasubiri kuoa wewe endelea kusubiri mpaka utakapoanza kuchechemea gadamiti! !

    ReplyDelete
  8. yan mambo anayoyafanya huyo jamaaa Le Mtz utafikiri mtooto wa miaka 19 yan aliruka step ujanani inamsumbua anahangaika kupiga sim na wadada hamna lolote hata mwanangu kayumba level anaweza kumchalange huyo jaaaa......nimewahi kumkuta maeneo nikajua hana akili timamu nahisi atakuwa hana .........u know mtu mzima raha yake kujisifia na kupiga picha na wadada

    ReplyDelete

Top Post Ad