Wema Sepetu Apata Deal la Ubalozi wa Hospitali ya Kimataifa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, Wema Sepetu ameteuliwa kuwa balozi wa hospitali ya kimataifa ya macho.

Taarifa hiyo imetolewa na meneja wake, Martin Kadinda kwenye Instagram:

Mrembo wa Tanzania, muigizaji na mjasiriamali Wema Sepetu, Amesign makubaliano ya kuwa Balozi wa Hospital Ya Kimataifa Ya macho Iliyopo Ali hassan mwinyi Road katika jengo la Tropical House…..#mkataba huu wa ni wa mwaka mmoja.. Wema amehaidi kuwa balozi wa hospitali hiyo iliyokuja na mitambo mpya ambayo itawezesha vijana wenye umri chini ya miaka 35 wanaotumia miwani kuacha kabisa utumiaji wa miwani kwakuwa wanauwezo wa kuondoa swala la uvaaji miwani kwa vijana..
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Replies
    1. You do, thats y umecoment hapa kwa jazba, hahhaaaaaa roho imekuuma kweli ulitaka waandike nini labda ili ufurahi????

      Delete
    2. You care ndo ukasoma.

      Delete
    3. Nyie watu mnapenda show off, Hospitali gani ya kimataifa? kadinda na Wema kweli ni wasenge hawana la kuongea.. acheni majivuni mtat***mbwa msipoangalia

      Delete
    4. so what.. hata kama nimesoma!

      Delete
    5. ''So what n u min u care''! Ulivoona Wema si ungepita2 Bila hata kusoma Halloooooo

      Delete
  2. Congrats from Kenya ua big fun

    ReplyDelete

Top Post Ad