Baada ya kuambiwa anatumia ARV, Amanda poshy aamua kuonesha majibu yake ya “ngoma"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya ile story iliyozagaa mitandaoni kuwa  mwanadada Amanda poshy anatumia ARV (Dawa ya kupunguza makali ya virusi vya UKIMWI) hatimaye leo, mwanadada huyo ameamua kuudhihirishia umma kuwa yeye yuko safi, na habari hizo ni uzushi tu na yenye lengo la kumchafua kwenye jamii baada ya kuamua kupima na kuweka majibu yake ya vipimo vya “ngoma” hadharani  kwenye mtandao mmoja wa kijamii.

Katika picha hiyo mwanadada huyo aliandika kuwa ni vizuri kucheki afya yako mara kwa mara, picha iliyokuwa ikionesha kuwa majibu hayo ya ngoma yanaonesha kuwa mwandada huyo yuko HIV NEGATIVE.

Je wewe umepima? Majibu yanasemaje? Au ulikimbia majibu?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. don really believe in these shits..everything is for sale in this country.

    ReplyDelete
  2. Dada umesema kweli kupima ni vizuri hata malengo na mipango inatekelezeka bila kuwa na wasiwasi.

    ReplyDelete
  3. HUYU NGOMA ANAYO ANAJARIBU KUZUBAISHA JAMII,, NA HIYO RISITI HAITHIBISHI KAMA YEYE HATUMII ARV,, WANA BONGO MOVIE WENGI WANA NGOMA KWA TAARIFA TUNAZOZIPATA KUTOKA KWA WASANII WENZAO KWANI WANJUANA. KWA HIYO AKAE KIMYA NA KIRISITI CHAKE

    ReplyDelete
  4. Ulimtusi Joel bure wakati virusi unavyo

    ReplyDelete

Top Post Ad