AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mrembo huyo kutoka Kenya licha ya kuwa amewahi kushare picha za mwili wake ukiwa mtupu kabisa, amesema kuwa miongoni mwa vitu ambavyo hawezi kushare na followers wake zaidi ya laki 2, ni mpenzi wake, nyumbani kwake, kitanda chake pamoja na ndugu zake kwasababu huo ni upande wa maisha yake binafsi.
“Never! That is my private. Nyumba yangu, boyfriend wangu, mahali naweka kichwa nalala, utaona tu hotel niko vacation and all that, lakini mahali naweka kichwa changu nalala, na mtu aliyeuteka moyo wangu ni vitu ambavyo kamwe siwezi kuweka Instagram, hata familia yangu siwezi kuwaweka Instagram.” Alisema Huddah kupitia Amplifaya ya Clouds Fm.
Ameongeza kuwa picha nyingi ambazo huwa anaweka huwa ni za hotelini pamoja na zake mwenyewe, na haweki picha za mpenzi wake kuhofia wasichana wa mjini wasije kumrubuni na kumpora.
“Huwa naweka zangu tu, watu wanaona mimi mbinafsi kwasababu huwa siweka picha za watu wengine, kwasababu Instagram ina watu wengine wana matusi sana, wakati mwingine unaweza kuweka picha na rafiki yako wanamtusi rafiki yako, sasa imagine uweke mtu kama boyfriend wako halafu tena wasichana wana competition, wakiona ooh huyu ndio boyfriend wa Huddah, wanataka kumfatilia yule jamaa wanam Dm Dm huko ndani picha uchi zingine halafu bado wanakuja kunitusi, I don’t put my private life out there”.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Myokoooo unaogopa kuporwa lol kumbe malaya nao huwa wanaogopa kaibiwa by the way i feel sorry for that guy who call himself a Boyfriend. I mean Huddah Boyfriend lol.
ReplyDeleteHana mpenzi mmoja huyo muuza k maarufu,,mapenzi kwake Ni biasharaa we unadhan kila anapoenda hayo mapicha ya uchi nani humpigaa huko chumbanii,,,,??Ana wanaume kibao hawez wekaa,
ReplyDelete