AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Hizo videos zake na ukichaa wake kila kitu kinaishia kumuingizia pesa....yaan very ceative. Na anapata wateja ni balaa anauza dozens and dozens...hizo chupi akishusha mzigo bongo watu watakimbilia kununua na kuuzia watu kama sio yeye aliyetengeneza.
Kila mmoja wetu kuna mahali ni dhaifu na mahali ana nguvu fulani.....dada @mbutanangablog ukiweza kujitahidi kujizuia hasira zako kwa wanaokuudhi. Utakuwa ni dada ambaye wengi wataiga mfano na kujivunia unatoka Tanzania...bila hivo wengi tutaendelea kukichukulia kimzaha tu...kumbe kuna kitu kikubwa cha thaman ndani yako.
By Mrekebishatabia Instagram
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
kilaza number moja.. hamna kitu hapo... hahahahaha
ReplyDeletemi mchupi uwo ata niwe kwenye period sivai mwee aku babu!!
ReplyDeleteAliyebakwa na Lema!
ReplyDelete