AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
huyu jamaa akikosa uraisi dahhh!! itakuwa shidaaa kwakd maanake unautaka kwa udi na uvumba!!
ReplyDeleteNyerere anajibu yake kwa Allah Hana lolote la kuwasaidia watanzania sauti yake ma ¥¥¥ss
ReplyDeleteChizi kumbe lowasa? Wewe na kikwete mlikataliwa kwenye ujumbe wa Nec akaibuliwa Mkaba tulisikiliza taarifa ya habari Redio Tanzania, Mwl nyerer aliuliza tunachagua umaarufu au tunachagua raisi? Kumbukumbu zipo kwa watu tape kama zipo basi za redio Tanzania, mla rushwa mkubwa wewe danganya vizazi vipya hawakujui ila vijana wa enzi za mwalimu hawadanganyiki, kama unauhakika na usemaya dhibitisha kauli ya mwl aliyokwambia kwenye Nec wewe na kikwete,,,,,
ReplyDeletejamani peleka ushahidi.. million 20 hizoo.. acha kupayuka kama una mavi... paka
DeleteRichmund kaaa pembeni bora kura yangu ni baki nayo uraisi kwako noooo,,,,
ReplyDeleteMwaka 1995 Mwl. Nyerere alikaririwa ndani ya kikao kikuu cha CCM akisema,
ReplyDelete"Hapa hatuchagui mtu maarufu, tunachagua mtu safi na huyu si safi. Kama unapenda sura yake basi nenda kanywe naye chai. Wengine mnasema aaah ni tuhuma tu. Samuel (Sitta)! Yusuf (Makamba)! Mnasimama hapa mnasema ni tuhuma tuhuma tu! Lakini mtakumbuka mke wa Kaisari alipotuhumiwa kwa ugoni Kaisari akaagiza uchunguzi ufanyike. Uchunguzi ukafanyika na ikabainika kwamba sio kweli. Lakini Kaisari bado akamuacha, akasema mke wa Kaisari hapaswi hata kutuhumiwa. Na sisi hapa Mgombea wetu hapaswi hata kutuhumiwa wakati wapo wengine safi ambao hawana tuhuma. Kama mkimteua huyo mimi sitapiga kampeni. Siko tayari kumsafisha mtu matope halafu ndio nimuombee kura. Hapana kabisa. Huyu mimi najua si msafi na nchi nzima inajua si msafi. Hafai kuwa mgombea wetu."
HAYA MH. LOWASA NITUMIE MIL 20 ZANGU NOW NOW... TAPE YENYE SAUTI YA MWALIMU IPO RTD, UNABISHA