AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Sasa shida yangu ni huyu kijana Ferdwaa ambaye nikiri wazi ninamkubali sana na wakati yupo RFA nilikuwa sikosi kipindi chake cha asubuhi na vodacom lakini tangu ameamia clouds fm ni kwamba amefunikwa haswaa na Pj na Hando na hata msikilizaji huwezi kubaini kama Ferdwaa naye yupo.
Ushauri wangu kwa clouds media mnauwa talent ya Fredwaa yule Jamaa ana uwezo wa kuhost kipindi peke yake lakini kwa sasa pale mmekosea Hando na Pj wanambana, najua Boss Ruge unasoma hapa mbunieni kipindi chake Fredwaa mnauwa kipaji chake.
By Matola-JF
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
kweli kabisa
ReplyDeleteJamani Claud mtafutie naye kipindi chake akiendeshe msije mkaua kipaji chake kama mlivyo kishusha na kukiua kabisa kipaji cha Regina Mwalekwa
ReplyDeletekweli kabisa mie pia nimeshangaa sana
ReplyDeleteJamani kweli watu mnaona kwa jicho la pekeee brother kaka fredwaa ameshuka sana tena mbaya zaidi anapokua katika kipindi babra na wenzake huwa hawampi ushirikiano sijui ndo kumhofia kwenyewe ajitazame kweli claud ni redio kubwa lakini haimaanishi kila mtangazaji atafanikiwa kupitia claud
ReplyDelete