AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Riyama alibandika picha hiyo kuandika “………?” kitu ambacho kiliwafanya mashabiki kupoteana kabisa, wapo ambao wadai kuwa mwanadada huyo yupo lokesheni anatengeneza muvi na wenngine kudai kuwa hiyo sio muvi bali ni kweli staa huyo kwasasa ni mjamzito.
Kwa siku za hivi karibuni staa huyo amekuwa akitupia picha kadhaakwenye ukurasa wake akiwa na jamaa huyo (alimuita Baba Fatma kwenye moja ya posti zake) akimtambulisha kuwa ndio mwandani wake.
BongoMovies.com imejaribu kumtafuta Riyama ili atoboe ukweli juu ya jambo hili bila mafanikio.
Kama ni kweli, tunakupongeza na kukutakia kheri kwani ni jambo jema.
Mzee wa Ubuyu
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Kwakweli siamini kama Riyama anaweza 'kutupia' mimba yake mtandaoni...... kama yupo location sawa. Subira yavuta kheri...!
ReplyDelete