AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ommy alikuwa akihojiwa na kituo cha Radio 5 cha jijini Arusha weekend hii alipoulizwa kama amealikwa kwenye party hiyo.
“I am not invited,” alisema. “Lakini sina tatizo na Diamond, hajawahi kunikosea. Kikubwa ni kwamba amekuwa ni mfano kwa wasanii upcoming kwasababu hata mimi nimemkuta kwenye muziki na ni mmoja wa wanamuziki ambao walikuwa wananivuta hata mimi kuwa achana na mambo ya bendi na kuwa solo artist.”
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Haukualikwa ilkuwa sherehe ya familia?labda mm sijui kuwa wale watu walio hudhulia ni wa wageni waalikwa.
ReplyDelete