Patcho Mwamba: Hamna star wa kike ana nyota kama ya Wema Sepetu, ila dhambi yake ni moja...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamuziki wa band ya Fm Academia Patcho Mwamba ambae pia ni muigizaji wa filamu, amejibu swali aliloulizwa kwenye mahojiano maalumu na Bestizzo "Je unahisi Wema halitendei haki jina lake au kuna sehemu anakosea?"

''Kwanza tuseme ukweli wa Mungu hamna star wa kike ana nyota kama ya Wema Sepetu, ni star ni star ni star ni star sana upande wa wanawake wote ndani ya bongo ila dhambi yake moja ni kuanika sana maisha yake... akiwa na mpenzi jamani mpenzi wangu ndio huyu hapa akiachana nae ni rahisi watu kujua...''
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Anakinyongo na maisha

    ReplyDelete
  2. Yote Wema anafanya kwa kuonyesha n jinsi gan akipenda amependa thats why si siri kwake ila wapendwao they don't deserve 2be called Wema's Lover.

    ReplyDelete
  3. Wema is a star...na wema si TASA!!!..she is young na atazaa tu....I love you my dear..ushauri : usianike vitu vyako hadharani...macho ya watu mabaya mno......kama hakuyaambui ya nakuuwa ...I wish you love,happinness and prosperity..may ALLAH protect and guide u always...u r a strong lady..hang on!!
    lol xx

    ReplyDelete

Top Post Ad