AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ila Wadakuz wa Ubuyu wanasema huenda watu hawa ni wapenzi wa siri wa muda mrefu kwani wamekuwa wakionekana pamoja mara kwa mara sehemu za Starehe na Jokate mara kwa mara huenda nyumbani kwa Ali Kiba bila Sababu yoyote....
Baada ya Jipu kupasuka Jokate alihojiwa lakini akashindwa kusema chochote na kuishia kujichekesha tu ,,,,
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
wacha muvi iendelee kiba wee piga tuu
ReplyDeleteHawa wasanii akipata maradhi mmoja basi na wengine hufuatia sababu anapopita mwenziwe na yeye lazima atie maguu .
ReplyDeleteKwanini hutafuti kitu kipya mpaka usubiri wezio waliotafuna tafuna wakatupa
Eti anaenda bila sababu, kwa nini mmemuuliza kawambia anaenda bila sababu, umbea mtupu!!
ReplyDeleteMdau wao kupita mle mle alimopita mwenzake wao wanaona ni kukomoana kumbe ni risk life(vvu) kama ulivyosema
ReplyDeleteI wont believe it
ReplyDeletejamani hta hao wake za watu walikua madem wa majamaa flani zamani. so huwezi jua kesho yao ikoje.
ReplyDeletembona daimond nae kapitia waliotafuna wenzie, au kuna mtua hajapitia waliotafuna wenziw?
ReplyDelete