AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
“Hapana simpendi [Diamond], yalishaisha hayo, nilishampendega, niliwahi kumpenda sana, lakini hamna tena, yaani hata sishtuki,” Wema alikiambia kipindi kifupi cha Kabali cha EFM.
“Nikimkumbuka Diamond most of the things ambavyo ninavikumbuka sio vitu vizuri na ndio maana hata sasa hivi imekuwa hivyo. Vizuri vilikuwepo lakini mtu anaweza akafanya vizuri akaja kufanya kimoja tu kibaya na akaharibu vyote tisa,” aliongeza.
Katika hatua nyingine Wema alisema Zari the Bosslady hamtishi katika sekta ya fashion.
“[Zari] hanitishi kwasababu yeye ana taste yake, mimi nina taste yangu, yeye ni Zari mimi ni Wema,” amesema muigizaji huyo. “I got my own, I like to play along with anything and she got her own.”
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
But you still love Diamond.cos ulimfataga sana sema dai hana mpango na wewe
ReplyDeleteHahahaha!sizitaki mbichi hizi.
ReplyDeleteunajuwa mwenye maneno mengi siku zote anjipelekapeleka na kujipendekeza ili aonekane ila jamaa kamute wala hana habar na yeye anapiga kazi na mambo yake yanamuendea.... cha msingi atafute buyu akune hana jipyaaaaa!!
ReplyDelete