AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mwanadada huyo ameioga mvua hiyo ya matusi katika akaunti yake ya Mtandao wa Kijamii wa Intagram kwa watu tofauti kwa kile kilichodaiwa kuwa anahaha baada kuachwa na Mbongo Fleva, Nassib Abdul ‘Diamond’ ambapo ameamua kufanya hivyo ili kuupoza mtima wake na kwa sasa kuna taarifa kwamba Ali Kiba ndiye anayemmiliki mtoto huyo.
Baada ya kutokea ishu hiyo, Mwandishi alimtafuta Jokate ili kusikia anazungumziaje hilo ambapo alisema: “Nashindwa kuielewa jamii inataka mtu aishi vipi, lakini yote kwa yote siwezi nikamkandia mtu kwenye muziki wake, kwa upande wangu mimi ni shabiki wa Ali Kiba kwa sababu ninapenda kazi zake na hakuna wa kunizuia kufanya chochote juu yake.”
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
hahahahaha akaoge huyu hana jipya,wivu utakuua diamond forever
ReplyDeleteUNAPOKUWA MAALUFU JIFUNZE KUWA MJANJA WA KUJIBU MASWALI HASA YALE YA KIUCHOKOZI, USIKURUPUKE. TUMIA KICHWA C MOYO
ReplyDelete