Nape: Fisadi akipitishwa na CCM nitaongoza kundi la vijana kumpinga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Akiongea leo jijini Mwanza, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa kamati kuu ya CCM ndugu Nape Nnauye amesema kuwa hana msalie mtume na wanaotumia fedha kununua uongozi.

Aidha Nape Nnauye ameweka wazi kuwa endapo CCM itampitisha fisadi kuwania uongozi wa juu kwa tiketi ya chama hicho basi ataongoza kundi la vijana kumpinga.

Nape ametahadharisha kuwa anayetumia fedha kusaka uongozi ili kuwaaminisha wana-CCM kuwa anakubalika hana nafasi kamwe. Nape ameonya kuwa anayetumia fedha kusaka uongozi akishaupata ataanza kurudisha gharama alizotumia kwanza.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nape sisi hatuishi hayo maisha sasa hvi unapoteza muda wako , kama kuna fisadi kwanini chama chako kimpe form? kwanini serikali ya chama chako isimchukulie hatua ? naomba uwe mwangalifu sana Nape kama wewe ni katibu mwenezi wa chama kinachotawala sio nafasi ndogo hyo na huo wimbo wa ufisadi unaimbwa kwasababu ya watu wanaotafuta kufaidika nao na si vinginevyo! Wakati umefika wa kusema ukweli Nape sisi vijana hatuwezi kuwa mbeleko kila siku sasa hvi tunataka kiongozi ambaye anaamini kuwa tunaweza kumiliki uchumi wetu, anayeyajuwa matatizo yetu na ambaye yuko tayari kuyakabili! hatutaki kiongozi mwenye maneno ya kubembeleza kura tunataka kufanya maamuzi tena magumu narudia tena magumu haswa kwamba badala ya kufikiri kwamba nchi yetu ina tatizo la ajira tufikiri kuwa tatizo ni uwekezaji! badala kukimbilia ulaya kuwaomba wazungu misaada ya kuomba waje wawekeze tubuni mipango ya vijana wetu kuwekeza badala ya wao kuajariwa kwa wazungu wao ndio waajiri wazungu inawekana Nape achana na siasa za maji taka! karibu nko tayari kujadiliana na wewe kuhusu mustakabali wa nchi yetu wasiliana na mimi kupitia :lellomunama@yahoo.com

    ReplyDelete
  2. Mbona wako waliosema wametumwa watukane

    ReplyDelete

Top Post Ad