Breaking news: Mramba, Yona Kwenda Jela Miaka Mitatu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es Salaam imewahukumu kwenda jela miaka mitatu aliyekuwa waziri wa zamani wa fedha Basil Mramba,na aliyekuwa Waziri wa zamani wa Nishati na Madini,Daniel Yona baada ya kukutwa na hatia ya uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia serikali hasara ya sh bilioni 11.7.Endelea kufuatilia taarifa zetu kufahamu zaidi.
Chanzo:ITV
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WAMEONEWA WAZI KABISA... HAKI HAUKUTENDEKA KABISA

    ReplyDelete
  2. hasara ya bilioni 11 halafu miaka mitatu ,mbona midogo sana wangefungwa hata miaka 100 hao

    ReplyDelete
  3. SIJUI SISI WADANGANYIKA LINI KITAELEWEKA, WALE WANAOTUMIA MADARAKA VIBAYA, NASI TUNAONA, LIKIJA LA UKWELI WAMEONEWA, ETI LABDA FURANI KAACHWAA, LAKINI FURANI FAGIO LIMEMPITIA, NDIO MAANA KILA ANAEINGIA MADARAKANI NI MTINDO HUO HUO WA KUARIBU WIZI WA MALI ZA UMMA, HILI LIWE FUNDISHO HATA KWA WENGINE,

    ReplyDelete

Top Post Ad