DIAMOND Katika Ubora Wake Tena..Video Nyingine Mpya Hii Hapa Ameshirikishwa na Mnigeria Kcee Wimbo Unaitwa Love Boat

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii Kcee kutoka Nigeria ameachia video mpya ya wimbo “Love Boat” aliomshirikisha Diamond Platnumz kutoka Tanzania
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ya kawaida sana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Comment ya Julay 3 saa 5:51, 5:52,5:53,5:54,5:55 zoote unarudia wewe tu kuonyesha watu tofauti. watanzania acha chuki hamsikii?

      Delete
  2. mbona video zake zinafanana? kama si magari ya fahari kwenye bot, ingekuwa Kiba mngesema!

    ReplyDelete
  3. HAINA MVUTO WOWOTE BITS NDO ZILE ZILE KILA NYIMBO.

    ReplyDelete
  4. Kusafiri koote na magrop, nyimbo ndo hiyo? haishui kabisaa

    ReplyDelete
  5. ubora gari wa ku act kwenye ndege na boat.

    ReplyDelete
  6. nyimbo zoote ni zamapenzi na vidio ndo zilezile, hamna cha maana, labda kubadilisha wanawake.

    ReplyDelete
  7. haijanivutia kabisaaa, iko sawa na zilopita.

    ReplyDelete
  8. fassion ndo ileile kila nyimbo. ops! kakaa juu ya gorofa safari hii

    ReplyDelete
  9. Really? How much umetengeneza hiyo video? Is nothing there, only the show off? Ndio kukimbilia kutoa video haraka haraka na haha ndio result yake

    ReplyDelete
  10. MBONA WEWE ULIYETOA COMMENT HAPO JUU NI HUYO HUYO? UNAMCHUKIA NINI? UEANDIKA ZOTE WEWE MUDA NA DAKIKA ZOTE ZINAONYESHA NA HATA SIKU, ACHA CHUKI WEWE

    ReplyDelete
  11. hivi jamani mmsikiliza hiyo bit, na ule wimbo wa Divido Aye. Duuuu copy cat davido bit.

    ReplyDelete
  12. Super!!!! yaan ni nzuuuri sana tena sana. Hongera Diamond ka kupeperusha bendera yetu ya Tanzania vyema.

    ReplyDelete
  13. bravo DIAMOND uko juuuuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad