Jacqueline Wolper… Amfuata Edward Lowassa Ukawa!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Liwalo na liwe! Kinara wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ameahidi kuambatana na waziri mkuu wa zamani ambaye ni Mbunge wa Monduli kwa leseni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Ngoyai Lowassa kwenye safari yake ya kuhamia kwenye muungano wa vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Wolper alisema kwa mapenzi aliyonayo kwa Lowassa yupo tayari kwenda kokote hata kama siyo Ukawa.

Mimi ni ‘Team Lowassa’, atakapohamia nami niko nyuma yake hata kama siyo Ukawa, nitamfuata, mimi na Lowassa ni damdam, hilo halina ubishi,” alisema Wolper
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lowasa damdam dah kumbe co mm mwenyewe lowasa ndo kila kitu without lowasa in Tanzania policies nothing

    ReplyDelete
  2. safi mwaka huu CCM vipande vipande ila chonde dada yangu kajiandikishe ili kura yako umepe Lowassa

    ReplyDelete
  3. safi sana,wewe una akili mbona,

    ReplyDelete
  4. Come on baby, come on baby, LOWASSA ATALETA MABADILIKO NJE YA Ccm

    ReplyDelete

Top Post Ad