Prof Mwandosya Afunguka: Jakaya Kikwete Alikuwa na Wagombea Wake Mfukoni Wakati wa Mchakato wa Kutafuta Mgombea CCM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Waziri mwandamizi katika serikali J.K amemtuhumu bosi wake kuwa alikuwa na majina ya wagombea tano bora mfukoni mwake.Rais Kikwete,ndiye aliyeongoza kikao cha maadili cha CCM,kilichowakata akina EL,Mwanndosya,Pinda,Dr Bilal.
Chanzo:RFA,Habari magazetini
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwandosya njoo Ukawa na kura yako MPE Lowassa

    ReplyDelete
  2. Hiyo ndiyo CCM/SIASA bana, NDIYO MAANA WENYE MAPENZI MEMA NA WATANZANIA WANASEMA KILA SIKU TATIZO LILILOPO NI MFUMO MBOVU. KM KIONGOZI MKUU WA NCHI AMBAYE NDIYE MWENYE MAMLAKA YA KUWAWEKA PAZURI WANANCHI WAKE YEYE NDIYE ANAKUWA TATIZO TUTAFIKA KWELI? Endeleeni kufunguka ili watanzania tupone.

    ReplyDelete
  3. Atafunguka sana inajulikana wazi alikua team lowasa, Magufuli jembe na hana kashfa liwasa ana kashfa kibai watanzania bado tunafikiri lowasa akiingia ikulu atakupa pesa wewe uliye na hali duni, tajiri kwa tajiri tutasubiri sana lowasa atupe utajiri

    ReplyDelete
  4. Ccm ni hatari kama ukimwi

    ReplyDelete

Top Post Ad