Rose Muhando: Nafikiria Kurudi Kwenye Uislamu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

NYOTA wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando amesema hakuna jambo jema alilojifunza tangu abadili dini kutoka kwenye Uislamu na kuwa Mkristo zaidi ya ‘ugaidi’ wa kiroho mbaya na sasa anaangalia namna ya kurudi katika imani yake ya kwanza.

Akizungumza na Amani hivi karibuni, Rose alisema hana furaha katika maisha ya Ukristo tofauti na alivyokuwa akielezwa wakati akihubiriwa kuokoka.

Pia Rose alikwenda mbali zaidi kwa kuwarushia madongo baadhi ya wachungaji kwa kumhukumu kwa maneno ya walimwengu bila kutumia hekima za kidini.

“Wakati nahubiriwa kuokoka, niliambiwa nitakutana na upendo lakini matokeo yake nimekuwa mtu wa ‘kupigwa mashuti’ tu.

“Mfano, mtu anakualika kwenye tamasha, kwa bahati mbaya unashindwa kufika na unampa taarifa lakini kesho yake unasikia umetapeli, wameshindwa kuona hata jema moja kwangu? Nafikiria kurudi kwenye dini yangu, naamini nitapata faraja,” alisema Rose.

Mwimbaji huyo amekuwa akikumbwa na skendo ya utapeli ambapo hudaiwa kupokea fedha kwa ajili ya kutumbuiza kwenye matamasha ya dini halafu kuingia mitini.

Chanzo: GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. BORA URUDI TU KWENYE DINI YAKO UKAIMBE KASWIDA, UTAPETA NA UTAUZA SANA KULIKO HUKU. HALAFU HUKO HATA UKIPOKEA HELA ZA WATU KISHA UKAINGIA MITINI WATAKUONA MUUNGWANA TU NA SI TAPELI

    ReplyDelete
  2. Rose alisema Yesu alimtokea akiwa mdogo ndio akaamua kuwa Mkristo, kama ni kweli asiyaambie magazeti bali amwambie Yesu kwamba kwa sasa sikuhitaji tena narudi kule kwa................... Kama anataka upendo aanze yeye kwanza kuonyesha upendo sio kulalamika. Wanadamu wana mapungufu yao akiwemo yeye mwenyewe Rose, Namshauri tu atafute upendo kwa Mungu sio kwa wanadamu. Hakuna mwanadamu aliyemfia msalabani, Yesu ndio alikufa kwa ajili yake, hivyo kukataa ukristo ni kumkataa Yesu ambaye ndiye (Rose) alisema amemuokoa.

    ReplyDelete
  3. Fanya nataka Sana uliingilia yasiyokuhusu yaelekea sasa hivi umelemewa na ya dunia!

    ReplyDelete
  4. KASWIDA ATAIMBA BABA YAKO, ULIFIKIRI MTU AKIPOTEA MUNGU HAWEZI MRUDISHA?

    ReplyDelete
  5. kwenye ukweli uongo hujitenga, kaangaika weeeeeeeeeee, mwishowe kakumbuka alikotoka.

    ReplyDelete
  6. BORA KWA UCHEZAJI WAKO NAONA KAMA ULIKUWA UNAHARIBU UKRISTO WETU NENDA KWANI WE NINANI .KILA MTU ATABEBA MZIGO WAKE MWENYEWE MAMA USITUTISHIE NYAU WAKRISTO

    ReplyDelete
  7. zidi kumuonmba mola akuonyeshe njia iliyo sahihi kwako. Rozi.

    ReplyDelete
  8. Rose ulifikri umepata, hukujua umepatikana?

    ReplyDelete
  9. TULIKUWA TUNASUBIRI KWA HAMU KUJUA HARAKATI ZAKO ZITAISHIA WAPI. KIKO WAPI MBONA UNATAKA KURUDI ULIKOTOKA?

    ReplyDelete
  10. kila dini inataka uaminifu na heshima. hata ukirudi kwenye dini yako kama utaendelea na tabia isiyoridhisha UTAPATA AIBU NA TAABU TU.
    Wewe ishi kikamilifu na kila kitu kitakuwa sawa.

    ReplyDelete
  11. Rose,jiulize kwa nini wewe tu?kashfa ya kutapeli,kutoa mimba,kuzaazaa ovyo,kubwia madawa,wewe tu?
    Hata kwenye uislam hawataki hivyo ulivyo na tabia zako,BADILIKA>

    ReplyDelete
  12. Sasa naona umefulia kiroho kwa sasa unatapatapa kama vile wasemavyo
    mfamaji hutapatapa

    ReplyDelete
  13. Rudi huko hhuko hatutaki matapeli huku

    ReplyDelete
  14. USITUKANE WAKUNGA NA UZAZI UNGALIPO ROSE!!!!! UISILAM NDIO UNAKUBALI UTAPELI

    ReplyDelete
  15. ROSE KWANI UISLAM UNAKUBALI UTAPELI???????????

    ReplyDelete
  16. Rose wewe ndio ulie imba Yesu ni bebe hafu leo onasema watu wanakuandama kuoka sio kupumzika bali nikutangaza vita ukitambua hilo wala huta lalamika utakaa chini nakuomba mungu kila wakati unataka nani atukanwe na kubezwa imeandikwa watawatukana na kuwanenea maneno ya uongo na kuwashutumu umesahauu kuwa wewe ni barua mwambie yesu akubebe wanadamu watakupeleka pabaya ashikae jembe nakulima kishs akageuka nyuma hafai katika ufalume wa mungu hatukufika bado ila tunakaza mwendo ilituweze ifikia safari usikate tamaa kaza mwendo kama sio kweli hiyo nivita usipigane kimwili maana kushindana kwetu si katika damu na nyama bali katika roho...kama nikweli wanayosema badili tabia Mungu anatumia njia kukuonya kupitia wanadamu badilika ilitupige vita vizuri.....................

    ReplyDelete
  17. Haya mama umechafua hali ya hewa unakimbilia kwingine, nenda huko wanakopenda uozo, Mungu habadiliki wala hadanganyiki, Tubu na kweli itakuweka HURU.

    ReplyDelete
  18. Haya mama umechafua hali ya hewa unakimbilia kwingine, nenda huko wanakopenda uozo, Mungu habadiliki wala hadanganyiki, Tubu na kweli itakuweka HURU.

    ReplyDelete
  19. Kumbuka yote uyaonayo ni yale yale, yaliyopita yanayojili, uenda, upita urudi, na muumbaji ni yule yule, hata huko ukiba, ukisema uongo, havitakiwi, hakuna mtu anaependa kudanganjwa, ukweli utakuweka huru, achana na maovu, japo kuwa mwanadam hajakamilika, jaribu kupunguza maovu,

    ReplyDelete
  20. Kumbe alishawahi kuwa muislamu?tabia yake ya kutapeli watu,umalaya wa kuchoropoa mimba,na mengine yanaendana na alikotoka,alikuwa anaitwa nani vile?

    ReplyDelete
  21. Mdau hapo 12:27 umesema kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe mbona nyie mnasema yesu amekufa kwa ajili ya dhambi zenu mnapotoshwa tuuuuu

    ReplyDelete
  22. MDAU 12:25 ULICHOSEMA SIO KIZURI MKANYE ROSE AACHA TABIA MBAYA. AWE MKWELI ILI AWE HURU.

    ReplyDelete
  23. ROSE MWOGOPE MUNGU UMSHINDE SHETANI. USISIKILIZE YA WATU FANYA MEMA TUNZA MOYO WAKO.KUTELEZA SIO KUANGUKA. OMBA TOBA TUBU OMBA REHEMA MUNGU ATAKUHURUMIA UTAENDELEA NA MAISHA YAKO KAMA KAWAID

    ReplyDelete
  24. KWANI UISLAM NDIO UNAKUBALI UTAPELI???????????????

    ReplyDelete

Top Post Ad