Wasafi Records yaonesha nia ya kumsaidia Hawa wa 'Nitarejea'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hayaaa sasa hawa ndo vijana tunaowataka katika kukuza mziki wetu hongera sana Diamond Platnumz kwa hatua uliyofikia kukuza mziki wa vijana na hongera kwa kuonesha nia ya kumsaidia tena msanii HAWA WA NITAREJEA Kwa kusema upo teari kufanya nae kazi wale walokuwa wanasema we sio mzalendo now sijui wataficha wapi sura zao!

Hubagui huchagui yeyote aje a record bure miaka 6 tu lakini umefanya makubwa kuliko wenye miaka 30 katika game.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kajambe kuleee, Domo alimtupa Hawa siku nyingi, baada ya kuona Hawa amemuanika ndo anajifanya yuko tayari kumsaport. mnafiki mkubwa dai na Udakuz.

    ReplyDelete
  2. Udakuz umeshaanza kunyonya mboo ya dai, alivyomtupa alifikiri kafa? leo ndo anajikomba

    ReplyDelete
  3. HAWA ALISHA KAZWA NA DAI THAN AKAMPOTEZEA, LEO YUKO TAYARI KWA LIPI, TUNAMJUA DAI TABIA ZAKE MUDA SI MREFU YATAMKUTA, NA UDAKU USIWACHE KUMUANIKA, SIYO KUJIPENDEKEZA TUU.

    ReplyDelete
  4. Anatafuta kiki nyingine baada ya kuona watu hawamzungumzii mjini, Udaku unakazi ya kunsifia dai bora uombe kazi ya kumuogesha mtoto wa baba 3.

    ReplyDelete
  5. Angekuwa na nia ya dhati angemsaidia kabla huyo bidada hajalalamika! Ila hata hivyo ni vizuri kurekebisha pale ulipokosea nataraji atabadilisha na tabia yake ya kejeli na dharau kwa mashabiki! Hongera zake kwa kujituma

    ReplyDelete
  6. Acheni chuki!
    Huyo hawa anavyobwia maunga ni kosa la daimond?
    Acheni hizo.
    Faida za maunga ndo hizo kufulia ikiwemo wala msimlaumu mtu

    ReplyDelete
  7. watu humu bang zina wasumbua hyo hawa hyo madawa alipewa na dia au ndo chuki mshenz zenu hvyoooooo bg up dia kwa kumsaidia

    ReplyDelete

Top Post Ad