AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Dr. Mahanga ambaye ni Mbunge anayemaliza muda wake kwenye Jimbo la Segerea kwa tiketi ya CCM ametangaZA azma hiyo leo mchana baada ya rufaa yake ya kupinga ushindi wa aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kipawa mama Kivela kutupiliwa mbali na Ofisi ya CCM mkoa wa Ilala.
Duru za Kisiasa zinasema kilichomponza Dr. Mahanga ni kitendo chake cha yeye kuhusika katika mpango wa kumnadi Waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa kwenye nafasi ya Urais wa CCM, ambaye kwa sasa ametangaza kugombea urais kupitia Chadema.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Nenda mwana kwenda wameondoka wangapi bana, msituchoshe na tamaa zenu za madaraka, nendeni kwa hao wanafiki wanaopokea mafisadi, wapo 'kibiashara' zaidi...
ReplyDeleteHivi Makongoro huyu ndie yule alowaambia wapiga kura wa Ukonga kwamba, 'kwanza nyinyi hamkunichagua, ni pesa yangu ndio ilo'nichagua' , wakapania kumbwaga akakimbilia Segerea. Segerea nako wamembwaga kutokana na maneno yake machafu, bora aende kwa hao 'zoa-zoa' kama gari la taka.
ReplyDelete