Jamaa Aliyefanya Zoezi la Kura za Maoni Kwenye Box Kariakoo na Lowassa Kushinda Akamatwa na Polisi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtu mmoja huko Kariakoo  jijini Dar amekamatwa na Polisi kwa kuendesha zoezi lisilo rasmi wala lisilofuata kanuni, sheria na taratibu za nchi, kwa kupiga kura za 'chap chap' ili alinganishe matokeo atakayopata na yale yaliyotolewa na Twaweza hivi juzi .

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. POLISI HAWAKUMKAMATA JANUARY MAKAMBA AKIWANUNUA WAPIGA KURA UWANJA WA TAIFA LEO HII WANAMKAMATA MWANAHARAKATI HUYU ANAYESIMAMIA UKWELI NA UWAZI ANAYEZIFUNDISHA TAASISI TATA ZA KIHUNI NAMNA YA KUENDESHA KURA ZA MAONI KWA NJIA YA KUAMINIKA ASILIMIA MIA MOJA -100%- .TUTAMUWEKEA DHAMANA,TUTALISIMAMIA KIKAMILIFU SHAURI LAKE ]KAMA CCM WATAAMUA LIWEPO] NA ANGALIA UKOMBOZI WAKE HUYU BWANA UTATIMIA OCTOBA 25,WAKATI HUO HUO MAHABUSU,JELA KUANZA KUHAMIA KWA WEZI WA KWELI WA RASLIMALI ZETU NA WALE AMBAO SASA WANAYATUMIA VIBAYA MADARAKA YAO.TUNASEMA,TUNASEMA TENA,OLE WENU CCM,MSIJE MKAIKIMBIA NCHI.

    ReplyDelete
  2. Wasenge polisi wote Wa Tanzania upumbavu unao fanywa na ccm mbona hamuwakamati mafara nyie nyoko zenu kunguni

    ReplyDelete
  3. Hapo kama ingeonesha aliyeshinda ni magufuli asingekamatwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata TWAWEZA wangeonesha aloshinda ni 'kajinyea' msinge-chonga.......ngoma droooo
      MKUKI MTAMU KWA NGURUWE

      Delete
    2. huyu mtafuta maoni kakiuka kila taratibu zote halafu aangaliwe tu haiwezekani upumbavu na ushabibiki wa kukiuka sheria tukaache uendelee kwa sababu za ushabiki wa kijinga

      Delete
  4. Inatakiwa na mchwa magamba wakamatwe pia,huyo ni mfano wa kuigwa kwani hana nidhamu ya woga ambayo watz wengi wanayo

    ReplyDelete
  5. Inatakiwa na mchwa magamba wakamatwe pia,huyo ni mfano wa kuigwa kwani hana nidhamu ya woga ambayo watz wengi wanayo

    ReplyDelete
  6. tuwe wastaarabu wa kucnangia maoni sasa nyie ccm mmekuwa very outrageous na matusi kibao mnatutukana sisi wapiga kura malofa ambao ndiyo wengi tena wengi sana hapa tanzania.mnatutukana wakunga huku mnaye mzazi WENU mgonjwa yaani magufuli,jee hapo kuna kupona? wenyewee kwa kujua[ujuaji mwingi]au kwa kutokujua, mnajimaliza wenyewe.nyinyi nitukaneni kadiri ya uwezo wenu mimi sijui matusi naitwa UKAWA na ninachukua dola tarehe 25 OCTOBA 2015.tuwaweke benchi na nyinyi sasa wake zenu wabebe beseni za mihogo,tuwe pamoja mitaani.mmeanguka,tena VIBAYA MNO.

    ReplyDelete

Top Post Ad