Mwandishi wa MWANANCHI Atimuliwa na CCM Kampeni za John Magufuli...Baada ya Kuripoti Zomea zomea ya Magufuli Mbeya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwandishi wa gazeti la MWANANCHI ndugu Peter Elias ametimuliwa kutoka msafara wa kampeni za mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ndugu John Magufuli, imethibitishwa.

Mwandishi huyo ametimuliwa kwa kosa la kuripoti tukio la mgombea huyo kuzomewa na wafuasi wa Chadema jijini Mbeya hivi karibuni kinyume cha
makubaliano.

Mwandishi huyo aliripoti katika gazeti hilo kwa kichwa cha habari "Magufuli akabiliana na UKAWA Mbeya" na kuweka picha ya mgombea huyo akionyeshwa alama ya vidole viwili.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Oops kusema ukweli mnamfukuza
    Kumbe waandishi wote kwenye msafara wa magufuli huandika uongo toba
    Na aje ukawa Hakuna shida

    ReplyDelete
  2. haha haaaaaaa wanachemsha safari hii watu mtaani wanataka mabadiliko tuu

    ReplyDelete
  3. Unafukuzwa kwa kudeka ukweli. COM inatska udanganye ndipo utunze kazi.

    ReplyDelete
  4. Hakuna aliyefukuzwa acheni umbea,,,,, mbona mna presha wakati ukawa nchi yenu na lowasa ka ahidi kuwaletea mabadiliko mpaka kwenye vijiji vyenu babu na bibi zenu watalimia matrekta kuweni wapole basiii people's pawer ikulu yenu.

    ReplyDelete
  5. Ajitokeze aseme adharani kama kafukuzwa kazi kwa ajili hiyo.

    ReplyDelete
  6. Tabia yao ukiwa ccm hukamtaja ccm mwizi unafukuzwa hinabidi usubiri hatoke ccm ndio humwite mwizi sasa jua kuna wezi kibao bado wako ccm

    ReplyDelete

Top Post Ad