Tundu Lissu Afunguka: Richmond ni ya Rais Kikwete..Nataka Nimnyamazishe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lissu akihutubia Leo Mkutano wa kumnadi Edward Lowassa mgombea Urais wa CHADEMA (UKAWA) amesema Richmond ni ya Rais Jakaya Kikwete.

Aidha, amesema richmond sio ya mtu anayeongozana nae kwenye kampeni.

Magazeti leo yalimkariri Rais Kikwete alipokuwa Kigoma akisema mhusika wa Richmond ni yule anayeongozana na Lissu kwenye Kampeni.

Katika video hiyo,Tundu Lissu anasikika akisema maneno yafuatayo;

"Ndugu zangu wa Morogoro, Richmond ni ya Kikwete.. Richmond ni ya Kikwete narudia.. Richmond sio ya huyu anayetembea na Lissu kwenye kampeni, Richmond ni ya Kikwete. Sasa nimesema nataka nimnyamazishe. Sasa nipeni masikio yenu...."
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wana-CCM Morogoro tunampa kura Magufuli,sio kikwete.
    PENDA SANA MAGUFULI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jipende mwenyewe kwanza na maendeleo yako binafsi. Ukijijua unaelimu mbadala, ukiitumia vizuri na kujituma na ukipatia Uhuru binafsi wa kutenda mambo bila upendeleo wowote hutamchagua mtu yeyote wa CCM kwa sasa. Bado hjajikwamua kifikra. Na hii ndiyo inayokufanya kutokujua nini unakipigania. Wenye kujua wanajua. Na mabadiliko ni lazima wayapate kwa Wapenda usawa, wachapakazi na wenye uwezo wa kufikiri. Jichahue mwenyewe na ujiwakilishe mwenyewe kwanza.

      Delete
  2. Huyu naye, wallaah mi huwa simwamini kabisa kama zinamtoshaa. Alikuwa wapi siku zote kuwaambia watanzania?

    ReplyDelete
  3. Umeishiwa Tundu Lisu, unajisahaulisha ya Mwembeyanga!! Nyinyi ndio mlosema mnaoushahidi wa UFISADI wa Lowasa, na kwamba yeye ndio muhusika wa Richmond, mmepokea rushwa nene, bila haya wala aibu mna'msafisha' !! Kwa hili, naondoa kura yangu kwenu.....UKAWA wote ni WAONGO, hawafai hata ujumbe wa nyumba 3. HATUDANGANYIKI.......

    ReplyDelete
  4. UKAWA mtajibebaaaaaa hivi yeye kwa nini hajibu kama hahusiki watz akili zetu na kumbukumbu ziko vizuri wadanganyeni bodaboda nama ntilie na wakaaa vijiweni

    ReplyDelete
  5. hata kama ni ya kikwete si anamaliza muda wake, sasa Lowasa ataweza kuiba tena na ugonjwa wake.

    ReplyDelete
  6. Hivi wewe Tundu Lissu unatuonaje sisi waTZ, kwe vile tunajaa katika mikutano yenu basi mnatuona wapumbavu sio? Yani mnatubadilishia story hapa kwa hapa kweli?? ni heri ungekaa kimya kama huyo Lowasa mwenyewe, kuliko kutufanya mambumbumbu. Ni nyinyi mlokuwa bungeni ndio mlotuletea hii issue ya Richmond na Lowasa. Tahadharini na maneno yenu kipindi hiki cha mwishomwisho, kumbuka binadamu ni KIGEU GEU kama ulivyo wewe, wasije wageuka ukashangaa

    ReplyDelete
  7. HAWA CHADEMA AKINA LEMA, LISU, DR SLAA NA WENGINEO SI NDIO WALIKUA WANAMWITA LOWASSA FISADI.

    ReplyDelete
  8. We knew, there is no question, na yeye hiyo ndio amefanya watanzania wengi kuhamia ukawa, they r tired, now inchi imezidi uhalifu Mara 100, madawa ya kulevya kila kona ya jiji, this is way too much. Silaha na bunduki nje nje, watu watishiana na kuuliwa na bunduki kana kwamba wenzetu nchi jilani, viongozi wengi WA nchi Ni shemeji zake, rafiki or ndg yake. Yani uongozi wake umeupeleka taifa ktk halo mbaya, haya huyo magufuli atapata kazi mgumu Sana kusafisha baraza la mawaziri na watendaji wake WA juu, all the best magufuli ILA kazi atakuwa nayo, coz effective leader must have effective group around him

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kazi yake kuu ni kuondokana na ushosti na wale waliomuweka hapo kama atashinda.

      Delete
    2. Magufuli hashindi jamani watanzania tumechoka huwezi kuniambia leo hii akishinda ataweza kumbana kikwete na kina riziwani walipe kodi,hanajeuri hiyo lazima alipe fadhila na hiyo system yao ndo imetufikisha hapa...tuko radhi tuwape ukawa hata kwa 5years ili ccm wakirudi wawena nidhamu..trust me mwaka huu hampati ng'ooo..na bora muwe wapole mkishindwa kama Nigeria mkileta ubabe kitanukaaa hatuwapendiiiiiii ccm tumewachokaaaaa tokeniiiii zenuu

      Delete
    3. kama umechoka ccm hamia kenya hapa Tanzania hapakufai


      Delete

Top Post Ad