Ukaribu wa Mkurugenzi wa Twaweza Aidani Eyakuze na January Makamba wa CCM Wazidi Kutia Doa Utafiti Uliotolewa na Taasisi Hiyo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Aidani Eyakuze ni Mkurugenzi mkuu wa Tweweza east africa, namfahamu sana kijana huyu aliechukua nafasi ya Rakesh pale Twaweza. Eyakuze ni rafiki mno tena wa karibu sana na January Makamba, na katika ile proposal concept ya Makamba pale Mlimana city ya kutanganza nia pale mlimani Eyakuze ndie aliekuwa consultant mkuu wa ile proposal ambayo leo kwa kiasi kikubwa imekuwa adapted na Mgombea wa CCM Magufuli na makamba kuwa karibu kuhakikisha inatekelezeka mfano kuipa kila kijiji sh milioni 50.

BADO naconect urafiki wa Eyakuze na Makamba katika takwimu alizozitoa Juzi ktk media january na leo za twaweza....ni km watu wanalala na kuamka pamoja.

Kwa thread hii, Aidani Eyakuze ameidhalilisha taasisi kubwa kama Twaweza kwa kununuliwa na ccm kupitia January na kupika tafiti zenye kuifurahisha ccm...hii ni hatari sana kwa taaluma ya Aidan Eyakuze ambaye Taasis yake inaeshimika kwa tafiiti zenye kulenga kuboresha mambo mbali mbali kwa serikali kwa watu wake. mfano mmoja ni Elimu kwa kupitia mradi wake wa UWEZO Tanzania inafanya tafiti na kuipa mrejesho serikali kwa chanamoto mbali mbali za ukweli toka kote nchini na serikali kupitia wizara ya elimu na TAMISEMI mara nyingi imeonyesha mabadiliko na kufanya utekelezaji kwa baadhi ya maeneo hayo Muhmu. sasa My take ....kama ccm inakununua Aidan..hivi chama hiki kikiwa madarakani kiendelee kuamnini na kufanyia kazi tafiti zako zijazo?? na hasa sasa nasikia mtaongeza evaluation katika afya na mazingira?

Aidani..sio masikin wa hela kwa elimu na nafasi yake pale twaweza...uswahiba wake tena wa siku nyingi na January anaamua kupindisha taaluma yake na taasis yake kutoa matokeo ya kufurahisha ccm hii aitosh kuzuia maamumuzi ya wananchi wanaotaka mabadiliko ambayo UWeZO Tanzania imevumbua madudu mengi tu uko chini katika tafit zake za elimu kwa miaka 5 mfululizo.Aidan wanishangaza sana.
IMAGE ya Twaweza na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa sana kwa upenzi huu binafsi wa Aidan Eyakuze na January Makamba.

Hivi dhambi hii kwa CCM, January na Aidan mtaungamia wapi ili hali nafsi zenu zinajua mnafanya hujuma ya makusudi.....shame on YOU Aidan na Shame on Makamba.

Mungu akupe uhai mrefu Mr Rakesh, ata kama Mkapa alikuwa rafiki yako sana ulimkosoa sana na kumpa fact wakat wa "HAKI ELIMU" hadi ulipooingia TWAWEZA hukusita kufanya hivyo kwa Kikwete na mengi tumeyaoona yanabadilika.....lakini kwa aliechukua Kijiti chako AIdan eyakuze huku sio tena ameendeleza ameamua kufanya Twaweza na UWEZO kuwa taasisi Ndogo za CCM.Shame na kwa washauri wake Uganda, Tanzania, na Kenya..

Source: Jamii Forums
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Fanyeni mfanyavyo sisi tunaukubali utafiti ya makamba na ukaribu wa huyo Aidani hautuhusu wacheni jaziba mda bado upo wa kufanya kampeni na kuyabadilisha matokeo bado upo sio kupoze mda kila kinachoandikwa kusapoti CCM nyie ni kulia lia

    ReplyDelete
  2. Kusema ukweli Magufuli kabadilisha upepo wa CCM Magufuli Great Game Changer kwanza CCM ilikuwa ni ya kung'oka kwa asilimia 100 lakini kwa sasa hivi ni ngumu UKAWA kuingia Ikulu wasubiri 2025 na inawezekana ikawa hata beyond kwa sababu Magufuli ataijenge CCM imara na kukosa upinzani watake wasitake UKAWA tukaneni kwa sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Asante mdau,
      kuna watu wanashabikia tu bila kuangalia takwimu,bila kutafakari ahadi zinazotolewa na UKAWA,CCM.
      ASANTE MUNGU,mimi nimeshtuka mapema,kura yangu ni kwa TINGATINGA,na kitaeleweka tu.HAPA KAZI TU.

      Delete
    2. Huko UKAWA tutapata kura nyingi tu ,CCM OYEEEEEEEEEEE!

      Delete
    3. Umeonaee! Na kingine kilichoisaidia sana CCM, ni kile kitendo cha ukawa kumsimamisha 'fisadi papa' kugombea urais, hapo ndipo walipotuacha baadhi yetu midomo wazi.....najaribu kuwaza kwa sauti, ingekuwa vipi kama CCM wangemsimamisha 'mamvi' kugombea!! Huo utafiti wa twaweza lazima ungesomeka 'vise versa'

      Delete
  3. utafiti uchwara!! tunasubir oct 25!

    ReplyDelete
  4. Kwahiyo ulitaka awe karibu na Tundu ndio uone utafiti umekuwa sawa?
    Hata hivyo nawe waweza kuleta utafiti wako hata kwa kuwahoji wake zako na watoto nasi tutauheshimu!

    ReplyDelete
  5. ukweli ndo huo Magufuli ameikomboa ccm walikua na hali mbaya ila ukawa hawaami kazi yao kulalamika kila jambo hatakama liwe la kweli tusubiri ukitoba wao wanaangalia mikutano anavojaza hawasikilizi watu wanasemanini wanataka nini kujaza watu sio tija watu hawaeleweki kilasiku wanabadilika mda bado upo endeleeni kumwaga sera ila mtasubiri sanatu Magufuli jembe

    ReplyDelete
  6. Matahira pekee ndio wataukubali huo upuuzi. Hv wa akina Makamba wanaotaga ndoto za midnight eeeeh inchi hii siyo ya baba zenu huu mwaka ni wakuwatoa wote mkalime uluguru mountains.

    ReplyDelete
  7. Wafuatiliaji makini tukitoa maoni yetu hayachapishwi.asante januari makamba zile pesa zako chafu za kutakatisha unazopewa na ccm unazozitumia kwa rushwa kubwa unazidi kuiharibu tasnia ya uandishi wa habari tanzania iliyopaswa, iliyotakiwa kua muhimu na makini imekwisha haribiwa na pesa haramu za ccm,vyombo vya habari,na sasa bloggers mmekawisha haribiwa.lakini.mwisho wa ubaya siku zote ni AIBU.nyie twendeni.

    ReplyDelete
  8. EEEH MUNGU WANGU MAONI YA WANA CCM WA TWAWEZA 1848 LEO IWE HOJA YA HEADLINES COVERAGE,KWELI SHULE BADO TANZANIA.WALIOJIANDIKISHA KUPIGA KURA MILLION 23 WAMEHOJIWA TENA KWA SIMU WALIOHOJIWA 1848 JEE UNAJUA HIYO NI FRACTION NGAPI YA ASILIMIA MOJA YA WAPIGA KURA MILLION 23? NI 0.00000001848!!!! JAMANI,JAMANI,JAMANI.AIBU,AIBU,AIBU.UTOTO,UTOTO,UTOTO.WEHU,WEHU,WEHU.KWELI SASA CCM IMEKWISHA ANGUKA.YAANI SIJAWAHI KUONA UPUUZI NA UHUNI WA DARAJA HILI ANAOTULETEA MAKAMBA NA SHEMEJI YAKE AIDAN WA TWAWEZA.

    ReplyDelete

Top Post Ad