'Baada ya Watanzania Kudhulumiwa Haki yao ya Kuchagua Nchi Imekuwa Kimya Kama Mkiwa' James Lembeli

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Aliyekuwa Mgombea wa Ubunge Kahama Kwa Kupitia Tiketi ya Chadema Amevunja Ukimya na Kuandika Haya Hapa Chini Katika Page yake ya Facebook:

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umebugi mzee, tandika shuka ulale.. Hii nchi ina amani na utulivu sababu ya CCM, ingeshinda Chadema kungekuwa na vurugu, watu wangeibiwa, maduka yangefungwa, lakini sasa kuko shwariiii. Mnakataa matokeo ya urais, mbona ya wabunge hampingi?? CCM inaongoza kwa idadi ya wabunge, haiingii akilini mtu amchague mbunge wa CCM amwache jemedari wake muadilifu Magufuli, akamchague huyo FISADI, TINGATINGA Tumemsikia, Tumemuelewa, Tumemchagua..... NANI AMENUNA??

    ReplyDelete
    Replies
    1. kumbe hujui kura mpaka za wabunge zimeporwa na ccm. wamepitisha wa2 wao mfano wilayani kyela kuna malalamiko yule mbunge aliyetangazwa akushinda.

      Delete
  2. Ni kama taifa lipo kwenye msiba mzito! Kuna wakati nilidhani simu yangu mbovu maana Ni ukimya usio kifani.

    Usijali Mzee Lembeli, freedom is coming tomorrow! Watu tutaheshimiana.

    ReplyDelete
  3. Ni kama taifa lipo ktk msiba mzito! Mi nilidhani simu yangu mbovu, maana Ni ukimya WA ajabu!

    But worry nothing bse freedom is coming tomorrow, tutaheshimiana

    ReplyDelete
  4. Hizi kura millioni tisa ziko wapi

    ReplyDelete
  5. Nani angeanzisha vurugu toka lini ukasikia alieshinda akaanzisha virus,kama wangepewaushindiChadema ina maana ambao wangepinga ndio wangeanzisha vurugu.mmejazwa ujinga eti bila Ccm nchi itaingiakwenyevita sababu nini?

    ReplyDelete
  6. UMEBAKI UNALIA KAMA MBWA MDOMO JUU SASA NENDA KALIME

    ReplyDelete

Top Post Ad