JOYCE KIRIA...Aibuka na Mpya....Awaponda Wanaume na Wanawake Wenye Hizi Tabia Mbaya...........

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Joyce Kiria na Mumewe Henry Kilewo

Joyce Kiria Ameandika Haya Kwenye Ukurasa wake wa Faceook:

'Ukiona Mwanaume anaumia na kupiga makelele ya kukatisha tamaa watu kwenye post zao, hasa pale anapoona mwanamke anamsaidia mume wake kwa hali na mali, ukiona mwanaume anakazana kumkatisha mwanamke wa mwanaume mwenzake tamaa kwa manenomaneno! ukiona Mwanaume wa aina hiyo basi ujue ana mambo mawili!!! Au ana mwanamke mzigo ambae hajawahi kumsaidia hata kwa mawazo ya kumtia moyo katika kazi zake, au mwanaume huyo ni bwabwa! Hahahaha yaani ni Mwanaume/Mwanamke siku hizi mjini wanaongezeka kwa kasi hahaha! Washaingiwa na mawivu ya kike yale ya chuki hahaha

Mwanaume wa kweli Rijali sifa yake anapenda mwanamke anaesaidia familia yake (mwenzi wake) katika shida na raha kwenye gurudumu la maisha, Mwanaume wa kweli anaejiamini hapendi Mwanamke golikipa a.k.a Mwanamke Mzigo!!! Na akiwa na Mwanamke mzigo basi ni wazi hatamshirikisha kamwe katika biashara zake, analiwacha huko ndani kama fanicha ndo maana linakuwa na hasira na bidii za wenzao Hahahaha

Ukiona Mwanamke anapigapiga mayowe kwa post kisa Mwanamke mwenzake anamsaidia mume kwa hali na mali, huyu jua ni wivu wa chuki umemkaba kooni (siyo wivu wa Maendeleo)! Usijisumbie maana wengi wako ivo! Badala ya kutamani nae apate kama mwenzake alivyopata, na kufanya bidii, yeye atawanga mchana kweupe ili ukose! Mawivu ya chuki ndo imewajaa! Yaani hilo si jambo geni kwa wanawake walio wengi Hahaha

Wengi wao wamezoea kuwekwa mjini na wanaume wengi wengi ilimradi waishi mjini hahaha yaani hawana ujasiri wa kuonyesha Waume wao hadharani maana wanao mabuzi kumikumi mjini hahaha... Yaani ili wale, wavae, wamiliki simu, wapige simu, aingie insta ni mpaka watoe dyudyu kwa wanaume mia mia Hahahahaha

Watu wa aina hiyo wana maneno wengi sana ila hayamzuii tembo kunywa maji... Watu waliozoea kuhaso longtime hawaBabaishwi na vimaneno vya watu walioshindwa maisha Hahahaha... watu waliohaso wana misimamo yao miaka 800000000 hawayumbishwi wana Misimamo mupoooo???
Ukitaka kuwajua watu hao pitia coment zao!
(Wanaume wa kweli na Wanawake wa kweli wapo wanatoa sapoti) wewe wafwaaaaaa na wivu wako wa chuki...
Tamani cha mwenzako na huku unaweka bidii ya kutafuta , siyo unaumia kwa sababu mwenzako akipata atakuzidi fyuuuu'
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Binafsi sijamuelewa, pengine ni 'dongo' kamlenga mtu wake otherwise MANENO YA MKOSAJI, HAYATUKOSESHI RAHA ZA JIJI

    ReplyDelete

Top Post Ad