Dr. Magufuli Akabidhiwa Rasmi CHETI Cha Ushindi wa Kiti cha Urais

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Damian Lubuva amemkabidhi cheti cha ushindi wa kiti cha urais, Dk John Pombe Magufuli  na  mgombea  mwenza  wake  Samia  Suluhu  katika  Ukumbi wa Diamond Jubilee  asubuhi  hii.

Katika  tukio  hilo, Wagombea urais wa Chadema Edward Lowassa na Hashim Rungwe wa Chauma wamesusia sherehe hizi  za kukabidhiwa cheti cha ushindi Dk John Magufuli wa CCM.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Where is our first lady?

    ReplyDelete
  2. Sasa hashim rungwe nae anasusa nini jamani, kura zenyewe Kuna sehemu kapata namba za viatu. Au nae bendera fata upepo, maana bora hata ya lowasa alikua anakubalika baadhi ya majimbo, sasa huyu mwenzangu na Mimi kaanza lini haya ya kususa? Au ndo anasaka umaarufu kwa ajili ya 2025?😅😅 hebu tuacheni hizi siasa sahizi jamani tufanye maisha yaendelee, mjifunze kukubali matokeo rais Ni mmoja Tu sasa wote mkiwa marais mtamuongoza nani

    ReplyDelete
  3. UKISUSA WENZIO TWALA..........PPIIIIIIPOOOOOO PWAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  4. CCM shimakooooo

    ReplyDelete

Top Post Ad