Kauli ya Mwanamuziki Diamond Platnumz Baada ya John Magufuli Kushinda Urais wa Tanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"(Happy birthday Dr. john Pombe Magufuli...and many Congratulation for Being our New Tanzania's President...) Heri ya kuzaliwa na Pongezi nyingi zikufikie Dr. John Magufuli Pombe pamoja na Uongozi mzima na wanachama wote wa Ccm kwa kuweza kufanikiwa kuiongoza tena Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.. Lakini pia niwashukuru na kuwapongeza Vyama vyote vya upinzani kwani naamini amshaamsha mliyoifanya Mwaka huu itasaidia kuongeza kasi za utendaji wa viongozi wetu pendwa na Nchi yetu kupata Maendeleo zaidi... hakika uchaguzi wa Mwaka huu ulikuwa ni wakipekee... Ni muda wa wote sasa kushirikiana kwa pamoja na Kuijenga Nchi...Kumbuka: hakuna ataekuletea Maendeleo chumbani kwako! amka tuwajibike maana Hata Punda hajasoma lakini hakosi kazi" Diamond Platnumz
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KICHWA SANA DOGO.

    ReplyDelete
  2. Diamond umeongea point. Ushauri wangu kwa vijana tushiriki kutafuta katiba bora ya nchi. Haya mliyojionea Ni uthibitisho tosha kuwa tunakatiba bovu iliyotengenezwa kwa kujali maslahi ya watawala. PIA tukumbuke katiba pendekezwa imeandaliwa Na hao watawala. Tukicheza kwenye katiba basi tusahau ndoto za ukombozi Na hivyo matusi kejeli Na dharau za viongozi wetu zitaendelea maana wanajua huna pakukimbilia au kumwajibisha. Nani alitegemea raisi mstaafu angweza kuwaita wananchi wake aliyewaongoza kuwa malofa eti kwa kushiriki demokrasia. Ndiyo maana hata alivyoamua kuwauwa wazanzibar Na waislam Dar hakuna mtu WA kumshtaki kwa vile katiba haioneshi Kama kavunja sheria. Tuwajibike

    ReplyDelete
  3. UKIJISIFU UNAMBIO, MSIFIE NA ANAEKUKIMBIZA......HONGERENI UKAWA KWA JAMBAJAMBA ZENU

    ReplyDelete

Top Post Ad