Esma Platnumz na Petit Man Wakata Watu Midomo...Penzi Larudi Mpya..Waenda Kwa Wema Sepetu Pamoja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dada wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond,’ Esma Abdul amerudisha mahaba na aliyekuwa mumewe, Hamad Manungwa ‘Petit man’ baada ya kudaiwa kutengana, tena kwa talaka tatu.

Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, mpashaji wetu alisema Esma na Petit kwa sasa wako katika mapenzi motomoto na hivi karibuni walionekana pamoja wakiwa nyumbani kwa Wema Sepetu na mtoto wao, Taraj.

Gazeti hili lilimtafuta mwanaume huyo na kumuuliza juu ya ubuyu huo ambapo alisema; “Bado tuko kwenye maongezi, lakini sisi ni wazazi na hata juzi tulimpeleka mtoto kwa bibi yake ambaye ni Wema amuone, maana yule ni mtu muhimu sana kwangu,” alisema Petit man.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haituhusu hata waende kwa jk na magufuli

    ReplyDelete

Top Post Ad