Nimeikumbuka Kauli ya DK SLAA "Chama Changu Chadema Hakiwezi Kushinda Urais Mwaka huu 2015 Kutokana na Kula Matapishi Yetu..."

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

DK Slaa
"Chadema hakikuwa chama cha kukumbatia ufisadi na mafisadi..hakikuwa chama cha kusomba watu na magari mikutanoni...hakikuwa chama cha kuiba na kununua kura...sasa Chadema hii si ile tulioijenga....
nimeamua kustaafu siasa maana najua chama changu hakiwezi kushinda urais mwaka huu 2015 kutokana na kula matapishi yetu..." Dk Slaa:

Je Slaa ni mkweli??
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni kweli, tena kweli tupu, maana ni wao chadema ndio walomchafua Lowasa pale mwembeyanga kwamba ni Fisadi, mwizi na majina mengi tu mabayamabaya, katika ile list of shame, kabla hatujasahau ghafla bila aibu, haya wala soni wanamleta kwetu kama mgombea urais.........hivi wanatufanya watanzania ni wajinga, wasahaulifu au walituweka kwenye fungu gani?? LAKINI CHAMOTO WAMEKIONA

    ReplyDelete
  2. Hayo maneno ya Dr. Slaa yana ukweli, matokeo yake tumeyaona.
    Mbowe kakunja chake katia mfukoni, kabadilishia 'gia' angani bila kuangalia kama hilo dege lina mafuta, anashangaa dege linaporomoka kwa speed 120 ........ piiiipooooosss PWAAAAAA

    ReplyDelete
  3. Ni muongo,na ccm wameshinda kwa kura za wizi,Lkn wacha tu maisha yaendelee sbb Tanzania Hkn democrasia,na hy slaa ni mnafiki

    ReplyDelete
  4. UNASEMA NINI WEWE MWIZI MKUBWA WA KURA,ULICHOKIFANYA MWAKA HUU NI KITENDO CHA KIHUNI,KIPUUZI KITAPELI NA KWA JINSI HIYO KWA KUWA UMEWADHULUMU WAPIGA KURA WA TANZANIA WALIOJITOKEZA KWA NAMBA YA KUVUNJA REKODI SASA HIVI WEWE CCM UMEWATIA HASIRA WATANZANIA,KWA MIAKA HII MITANO KATU HAUTOPATA USHIRIKIANO NAO BADALA YAKE UTAKUMBANA NA DHORUBA BAADA YA DHORUBA.SASA HIVI WEWE CCM UMESABABISHA BEI ZOTE ZA BIDHAA KUPANDA NA WANATUAMMBIA WAZI WAZI"EEEE SI MLIAMUA KUMUIBIA KURA LOWASSA RAIS WETU".NIKIGEUKIA YA MSALITI DR SLAA,AMBAYE ANASUBIRIA KUPEWA UWAZIRI NA MAGUFULI,SINA LA KUONGEZA KWA KUA SI UKAWA, NI MWENZENU CCM NA ALIIKIMBIA NCHI,HAKUPIGA KURA INGAWA ALIKUJA NA NDEGE YA KIKWETE TOKA MAREKANI.ALIPIGWA CHANGA NA KIKWETE NA ALIPOGUNDUA HAPAKALIKI AKAONDOKA NDUKI.SIJUI KAMA ATAKANYAGA ARDHI HII TENA.CCM NI WEZI,WEZI,WEZI NA KWA MIAKA MITANO MTAZOMEWA,MTAZODOLEWA IWE,MASOKONI,KWENYE MABASI,MITAANI,BARABARANI.KWA KWELI MTAIONA NCHI CHUNGU,TENA SANA.HATUTOWASHAMBULIA KWA SILAHA YEYOTE,HAPANA,ILA ZOMEA ZOMEA: WEZI HAO,VIBAKA HAO,MA....HAO,FUNZA HAO.HII NI MPAKA TAREHE YA UCHAGUZI MKUU UJAO.

    ReplyDelete
  5. Huyu mzee kazingua huku anakubali alishiriki mchakato wa kula hayo matatapishu halafu akatoa kauli kama hiyo,Mi naona angegombea yeye kwa shughuli ya mwaka huu asingepata kura walizopata Ukawa mwaka huu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe useme kweli tena chadema kisingepata wabunge wengi hivi

      Delete
  6. LOWASA ALISHINDA KWA 62% KWA TAARIFA YAKO!!!!

    ReplyDelete
  7. NA BUNGENI KWA MARA YA KWANZA KATIKA HISTORIA YA UPINZANI NCHINI TOKA MFUMO WA VYAMA VINGI ULIPOANZA MWAKA 1995 MWAKA HUU WABUNGE WA UPINZANI WANAOINGIA BUNGENI WATAKUA 106 TOKA WALE 84 BUNGE LILILOPITA.YAANI ONGEZEKO LA WABUNGE WAPYA 22,KABLA YA RUFAA ZAIDI YA 40 ZA WABUNGE KUSIKILIZWA MAHAKAMANI.KIPINDI HIKI BUNGENI,KIVUMBI,MUZIKI NI MNENE.HUKU LWAKATARE KULE SUGU,HAPA KUBENEA IPO KAZI.PANA SHUGHULI PEVU.TANZANIA YA LEO SI ILE YA JANA.

    ReplyDelete

Top Post Ad