AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mpenzi wa zamani wa Nay wa Mitego, Siwema aka ‘Mama Curtis’ ameonekana akila bata na mwanaume anayedaiwa kuwa ndiye mpenzi wake mpya baada ya kuachana na rapper huyo.
Mpenzi huyo wa Siwema anayetambulika kwa jina la John, alipost picha akiwa pamoja na Siwena na kuandika; Mama curtis kanuna.”
Baada ya kauli hiyo followers wake walimuomba afafanue zaidi na yeye kueleza: Daah leo tu ndo kaamka hivyo mke wangu.”
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
haa hapa kachemsha kiserengeti boy tu hicho unajishusha hadhi....tsikitsa toka kenya
ReplyDeleteDa bora alivyotemwa na Ney maana kabovu kweli saiv kapata mbovu mwenzake wataendana.
ReplyDelete