Rais Kikwete Alivyomkaribisha Kumpongeza Dk. Magufuli Baada ya Matokeo ya Urais Kutangazwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli wakifurahia matokeo mara baada ya Mwenyekiti wa  Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva  kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni  jana  jioni Oktoba 29, 2015


Mama Salma Kikwete akimpongeza mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa Tais kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jana jioni Oktoba 29, 2015


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jana jioni Oktoba 29, 2015



----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HONGERENI SANA,MAMA MAGUFULI POLE KWA KUUGUZA MAMA TUNAKUOMBEA KWA MUNGU ILI TU SIKU YA KUAPISHWA TINGATINGA UWE PEMBENI YAKE.

    ReplyDelete
  2. hongera sana mhe j.p.jmagufuli kwa kuchaguliwa. kuliongoza taifa letu.sasa hivi wewe bado ni rais mteule na,tumeambiwa unaapishwa alhamisi wiki ijayo.upo mtego hapa,tena mkubwa.tunashuhudia maandalizi yanaendelea uwanja wa taifa,tunadhani pale ndipo walipokuchagulia waandaaji uapishwe pale. KUMBUKA TEMEKE KWA SASA IPO HIMAYA YA UKAWA NA SI CCM. OMBI:PAKATAE ,AMURU KUAPISHWA KWAKO PAWE UWANJA WA JAMHURI DODOMA.KULE NI ZONI NGOME YA CCM, NDIPO MAKAO MAKUU YA CCM, NA MAKAO MAKUU YA SERIKALI,KULE NDIPO LILIPO BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,KULE NDIKO ULIKOPITISHWA KUGOMBEA NA KULE NDIKO ULIKOTAMBULISHWA KWA WANANCHI KWA MARA YA KWANZA,jipambanue,kwani tawala za mwinyi,mkapa na kikwete WALIFELI MTIHANI HUU.leo tuna miaka 44 toka Dodoma itangazwe makao makuu lakini marais watatu waliopita walishindwa kutimiza wajibu wao vilivyo.MHESHIMIWA MAGUFULI ANZA UTAWALA WAKO KWA STAILI YAKO PASIPO SHINIKIZO,UTAFAULU SANA NAKUHAKIKISHIA.

    ReplyDelete
  3. congrates dr. magufuli

    ReplyDelete
  4. Kabisa mana siku zote za mwizi arubaini

    ReplyDelete
  5. Jamani sasa hivi huyu sio raid WA team tena Ni rais WA wote haijalishi ccm ukawa au chauma, tumuombee kwa Mungu aweze timiza Yale aliyoahidi kwenye kampeni zake. Akaapishwe popote Tu Ata kama Ni arusha huyu Ni chaguo la wote hata ukawa wapo waliompigia jaman. Hebu tuacheni ushabiki WA timu mabadiliko na team hapa kazi Tu, tuungane tumpe sapoti rais wetu tufike pale tunapopataka. Mungu ibariki Tanzania na watanzania wote.

    ReplyDelete
  6. Tuache sasa itikadi za vyama, maisha yaendelee jamani, sisi Ni wamoja

    ReplyDelete
  7. NANI AMENUUUNA, NANI AMENUUNA, NANI AMENUUUNA.......

    ReplyDelete
  8. Tujenge taifa letu la Tanzania sasa,ukabila,na siasa za mrengo wa kushoto tuachane nazo,tujitahidi katiba mpya iwepo mapema,na sheria mpya za kumbana rais kuwa na mamlaka ya kuchagua wakuu wa mikoa kama sio kuteua na wakuu wa wilaya,tupo nyuma sana pamoja na ,raslimali nyingi tulizo nazo,tuamke usingizini tuongoze east afrika na afrika kwa maendeleo,tuache chuki ,tukianzisha machafuko bongo hatuna pa kukimbilia,wao wanakuja kwetu,tuvumilie ,tubadilishe mfumo wa sheria,mahakama,polisi,na usalama wa taifa kwa sababu ndio njia pekee ya kuwa na demokrasia ya kweli. hongera Rais Magufuli.

    ReplyDelete
  9. Tufanye kazi sasa tuache siasa kila mtu bongo anataka kuwa mwanasiasa,nchi itaendeleaje?

    ReplyDelete
  10. Tufanye kazi sasa tuache siasa kila mtu bongo anataka kuwa mwanasiasa,nchi itaendeleaje?

    ReplyDelete
  11. Tufanye kazi sasa tuache siasa kila mtu bongo anataka kuwa mwanasiasa,nchi itaendeleaje?

    ReplyDelete
  12. Tujenge taifa letu la Tanzania sasa,ukabila,na siasa za mrengo wa kushoto tuachane nazo,tujitahidi katiba mpya iwepo mapema,na sheria mpya za kumbana rais kuwa na mamlaka ya kuchagua wakuu wa mikoa kama sio kuteua na wakuu wa wilaya,tupo nyuma sana pamoja na ,raslimali nyingi tulizo nazo,tuamke usingizini tuongoze east afrika na afrika kwa maendeleo,tuache chuki ,tukianzisha machafuko bongo hatuna pa kukimbilia,wao wanakuja kwetu,tuvumilie ,tubadilishe mfumo wa sheria,mahakama,polisi,na usalama wa taifa kwa sababu ndio njia pekee ya kuwa na demokrasia ya kweli. hongera Rais Magufuli.

    ReplyDelete
  13. Tujenge taifa letu la Tanzania sasa,ukabila,na siasa za mrengo wa kushoto tuachane nazo,tujitahidi katiba mpya iwepo mapema,na sheria mpya za kumbana rais kuwa na mamlaka ya kuchagua wakuu wa mikoa kama sio kuteua na wakuu wa wilaya,tupo nyuma sana pamoja na ,raslimali nyingi tulizo nazo,tuamke usingizini tuongoze east afrika na afrika kwa maendeleo,tuache chuki ,tukianzisha machafuko bongo hatuna pa kukimbilia,wao wanakuja kwetu,tuvumilie ,tubadilishe mfumo wa sheria,mahakama,polisi,na usalama wa taifa kwa sababu ndio njia pekee ya kuwa na demokrasia ya kweli. hongera Rais Magufuli.

    ReplyDelete
  14. Tujenge taifa letu la Tanzania sasa,ukabila,na siasa za mrengo wa kushoto tuachane nazo,tujitahidi katiba mpya iwepo mapema,na sheria mpya za kumbana rais kuwa na mamlaka ya kuchagua wakuu wa mikoa kama sio kuteua na wakuu wa wilaya,tupo nyuma sana pamoja na ,raslimali nyingi tulizo nazo,tuamke usingizini tuongoze east afrika na afrika kwa maendeleo,tuache chuki ,tukianzisha machafuko bongo hatuna pa kukimbilia,wao wanakuja kwetu,tuvumilie ,tubadilishe mfumo wa sheria,mahakama,polisi,na usalama wa taifa kwa sababu ndio njia pekee ya kuwa na demokrasia ya kweli. hongera Rais Magufuli.

    ReplyDelete

Top Post Ad