Team Lowassa Watoa Ujumbe Kuhusu Kifo cha Mchungaji Mtikila

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tunatoa pole kwa Familia , Chama cha DP na Watanzania kwa ujumla kwa Kumpoteza Mchungaji Christopher Mtikila, Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa...Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe unae jiita Godfrey kitwika,, Huna akili , maiti hasemwi vibaya hata siku moja kama alimsema Lowasa wewe inakuhusu nini kujifanya unamjua sana Lowasa na siasa ya Tanzania kwa umri huo wa miaka 20 uliyonayo, kumbuka hata wewe na mimi zamu zetu zinakuja hatujui siku wala saa, R.I.P Mchungaji Mtikila.

    ReplyDelete
  2. TUMUOMBEEE NA TUSAMEHE KWA YOTE ALIYO TUKWAZA HASA KATIKA KIPINDI HIKI MUHIMU CHA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU.LAKINI NDUGU ZANGU YUJIFUNZE KUTOKANA NA MAKOSA KUMDHALILISHA NA KUSHANGILIA TATIZO LA MWENZAKO TU KOME MARA MOJA MUNGU ANAONA NA ANAKULIPA HAPA HAPA DUNIANI, SASA HIZI NI SALAMU TUUUUUUUUUUUUU SINA HAJA YA KUWATAJA MAAANA TUNAWAFAHAMU NA WENYEWE PIA WANAJIJUA MPK NAFISINI MWAO NAWASHAURI MAPEMA WAOMBE RADHA, MSAMAHA KWA KAULI ZAO ZA UDHALILISHAJI NA UNYANYASAJI KWA VIUMBE WA MUNGU TENE HADHALANI AU KWENYE MIKUTANO HIYO HIYO, KABLA MADHARA HAYAJAWAFIKA KWA MAANA MUNGU ANASAMEHE KWA WALE WAMUOMBAO'

    ReplyDelete
  3. Team Lowasa, hiyo pole mloitoa inatoka rohoni kweli??

    ReplyDelete
    Replies
    1. Toka moyoni au una lingine wewe
      Sisi hatukupendi kisasi
      Mungu ndo msemaji kweli

      Delete
  4. R.I.P mchungaji,mbele yako nyuma yetu

    ReplyDelete

Top Post Ad