AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mpaka sasa bado haijafahamika ni wimbo/nyimbo gani atakazotangulia kuachia, kutokana na style yake ya kufanya vitu kimya kimya mpaka dakika za mwisho akiwa na kila kitu mkononi ndio huwa anaanza kutoa ishara.
Platnumz jana (Nov.9) aliandika post ambayo ni kama ishara ya kuwaandaa mashabiki wake wakae mkao wa kupokea kazi mpya.
Kwa kujiamini kupita maelezo, kupitia mitandao ya kijamii baba wa Tiffah aliandika;
“Nyimbo na Videos nnazoenda kuachia mwaka huu, zitakuwa ni Historia na Kubaki kumbukumbu hadi siku ntapozikwa…. #HifadhiHiipost.” kwa maneno haya, hii ni ishara kuwa mzigo unadondoka muda si mrefu? Nadhani majibu tutayapata soon.
Nyimbo na Videos nnazoenda kuachia mwaka huu, zitakuwa ni Historia na Kubaki kumbukumbu hadi siku ntapozikwa…. #HifadhiHiipost
— Chibu Dangote (@diamondplatnumz) November 9, 2015
Kwa tafsiri ya kile alichoandika Diamond, “Nyimbo” na “VideoS”, hii inamaanisha tutarajie wimbo zaidi ya mmoja (1) , pamoja na video zaidi ya moja (1) ndani ya siku 51 zilizosailia kuumaliza mwaka huu wa 2015. #HifadhiHiipost
Bongo5
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
si mpaka
ReplyDeleteanauhakika gani kama watu watazipenda mpaka afe.
ReplyDeletewa kwa mtogole, watazipenda zaidi.
ReplyDelete