AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kwenye Uzi huo nililalamika ni nani anayemlinda Hussein Mafisi muuza madawa maarufu Mwenge. Leo muda wa saa 9 na dakika 45 amekamatwa. Gari tatu za Polisi zilifika Dukani kwake na kubeba mateja wote waliokuwepo na Hussein wenyewe..
Hii ni mara ya kwanza kukamatwa, daima hukamatwa mateja na yeye huachwa, lakini Leo kakamatwa. Nitasikitika Sana kama nitamkuta tena jioni akiendelea na biashara yake.
Magufuli kata Hii network ya wauza unga..
Source:Nazijaz/Jamii Forums
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Akachukue orodha kwa mwenzie alieshindwa kuwashughulikia kila aiku anayo majina Na hajawataja mpaka kamaliza mda wake Mzee WA anasa
ReplyDeleteNa yeye alikuwa anauuza unga mwanaye
DeleteWalikuwa wanapita VIP airport
Chezea Msoga