Sihitaji Pedeshee, Dansa Wangu Moses Iyobo Ananitosha Sana...Aunty Ezekiel

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MAKUBWA! Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa wapo watu wanamcheka kuwa na uhusiano wa kimapenzi na dansa (Moze Iyobo) lakini ni bora aendelee kuwa naye kuliko kuwa na uhusiano na mtu mwenye pesa za kugawa hovyo (pedeshee) asiyekuwa na mapenzi ya dhati.

Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel akiwa na mpenzi wake Moze Iyobo.
Akizungumza na Amani, Aunt alisema kuwa aangalii hela hata kama wakilala njaa lakini kama kuna mapenzi ya kweli inatosha kabisa kuliko kuwa kwenye hela akaumizwa na kunyanyaswa.
Acha niendelee kuwa na dansa wangu kuliko kuwa na pedeshee ambaye hana mapenzi ya dhati kwangu akaenda kuniumiza na nisione raha ya penzi, kwa Moo (Iyobo) nafurahia mapenzi na wala siyo pesa kwani hata njaa tunaweza kulala,” alisema Aunt.

chanzo;globalpublishers
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyo Bilal wako wakuache na Bilal wako

    ReplyDelete
  2. so umefunga ndoa na wanaume wawili?

    ReplyDelete
  3. Hela ya kampeni tamu subiri iiche utawatafuta hao mapedeshee.

    ReplyDelete

Top Post Ad