AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kuna NJEMBA Moja Nakumbuka Ilikuwa Inatusumbua Sana Skonga Pamoja Na Demu Wake Yaani Kila Kitu Lazima Wafanye Pamoja Na Hata Wakati Mmoja Wapo Anaenda Chooni Basi Mwenzake Ataweka Gadi Nje Kumsubiri Hadi Ikawa Inatukera Sisi Masela Japo Kiasi Fulani KAWIVU Nako Kalikuwepo Kwani Hii Couple Iliishi Kama Tayari Wameshaooana.
Kichekesho Tumemaliza Tu Kuhitimu Jumamosi Jumatano Ijayo MASELA Tunaletewa Kadi Za Mchango Wa Harusi Wa Yule Demu Na Bwana Mwingine Na Mwezi Mmoja Baadae Tena Tukaletewa Kadi Za Michango Ya Harusi Ya Yule Mwanaume Na Demu Mwingine. Tulihudhuria Hizo Harusi Zao Zote Mbili Ila Kwa Masikitiko Makubwa, Butwaa Na Mikono Ikiwa Shavuni.
Tatizo Huwa Ni Nini?
Tatizo Huwa Ni Nini?
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
baada ya graduation tu boom linakata ndo maana mambo yanaishia hapohapo
ReplyDeletebooom likikata na mapenzi yanakata
ReplyDeleteBooom ndio kitu gani???
ReplyDeleteMdau hujui boom
ReplyDelete