Mrembo Elizabeth Michael ‘Lulu’ Afunguka Kuhusu Kupata Watoto...'Nitazaa Bandika Bandua'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtoto mzuri katika tasnia ya sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameapa kuwa muda wa kuanza kuzaa ukifika, atazaa mfululizo bila kupumzika hadi lengo la idadi ya watoto anaowataka litimie.

Akizungumza na Bongo Movies ya Amani, Lulu alisema hakuna kitu anachokipenda kama watoto hivyo atakapojipanga na kuwa tayari kuzaa, itakuwa ni bandika bandua kwani anataka kuwa na watoto wengi.

Jamani hakuna kitu kizuri kama kuzaa kwa kubandika na kubandua, yaani nikimwangalia Mercy Johnson wa Nollywood nchini Nigeria jinsi alivyozaa, napenda sana na ndiyo maana hata mimi wakati wangu ukifika hakuna kupumzika,” alisema Lulu.

Shinda Zawadi ya Gari Kama zawadi ya X-Mass 
Jiandikishe Kwa Kubonyeza Hapa>> Zawadi ya Gari
Washindi Wawili Kutangazwa Tarehe 24 Dec
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Picha zingine
    Hazifai bongo
    Ughaibuni bomba

    ReplyDelete

Top Post Ad