Prof. Lipumba Afunguka.....CHADEMA Wamepoteza Dira Baada ya Kumpokea Lowassa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakati akiongea kupitia AzamTwo Television, Prof. Lipumba amesikika akisema, CHADEMA kimepoteza dira ya kisiasa kutokana na mtafaruku uliojitokeza ndani ya UKAWA baada ya kumpokea Lowassa na kumfanya mgombea Urais wa Tanzania.

Prof. Lipumba amesema, ''Sisi ndani ya CUF tunaweza kukijenga vizuri chama chetu kwa sababu msingi wetu ni kusimamia haki kwa wote lakini wenzetu wa CHADEMA wamepoteza dira kwa sababu itakuwa ni vigumu kuzungumzia suala la mapambano dhidi ya ufisadi''.

''Msingi wa sera zetu ni Haki Sawa Kwa Wote, Rais Magufuli anasema HapaKaziTu na sisi tunasema Hapa ni Haki Tu'' Alisema.

Aliendelea kusema, ''Tuna mahala pazuri pa kuanzia, kutazama namna ya kuikosoa serikali katika kutekeleza hizi sera za HapaKaziTu, Je tunalinda haki za kila mmoja wetu, tunafuata utaratibu mzuri wa sheria''

Alimalizia kwa kusema, ''wenzetu CHADEMA wamepoteza dira''.


VIDEO
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lipumba Pumba.Mara nyingi sana tulishawataja Wasaliti wa Mageuzi Tanzania,Lipumba ndiye kiongozi msaliti.alivyorubuniwa na kununuliwa na CCM mwezi wa nane mwaka huu 2015 siku chache kabla ya kuanza kampeni za uchaguzi mkuu,lengo lilikua ni kuiyumbisha UKAWA na kwa kumnasa slaa kwenye hili kapu la hawa mahayawani WASALITI LIPUMBA,SLAA NA ZITTO CCM walidhani[kwa dhana mbaya,chafu,potofu]kwamba watakuwa wanaudhoufisha na hususani lengo kuuua upinzani.HAIKUWA HIVYO,KWA NGUVU KUBWA ALIYEKUWA NAYO MHE.EDWARD NGOYAI LOWASSA CUF-UKAWA ZANZIBAR ILIPATA USHINDI MKUBWA SAFARI HII SIYO VISIWANI PEMBA TUU,BALI ILIJIPENYEZA UNGUJA[KWA MARAFIKI WA LOWASSA] NA KUCHUKUA MAJIMBO TISA!tukirudi bara ushindi wa muungano wa UKAWA pamoja na hizi hujuma zote za lipumba,slaa na zitto kwa upande mmoja na CCM,TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI kwa upande wa pili USHINDI WA UKAWA BUNGENI NI WA KISHINDO KIKUBWA,UNATISHA WABUNGE 123[NIMEMUONGEZA NA LEMA ALIYESHINDA ARUSHA JUZI],NA SIMHESABU ZITTO KWANI SI MPINZANI[NI MWANA CCMHUYU].UKAWA TUNATAMBA LEO HII TUNA WABUNGE 123 UKILINGANISHA NA BUNGE LILILOPITA LA WABUNGE WAPINZANI 86 YAANI ONGEZEKO LA NGUVU YA ZIADA YA WABUNGE 37!SI MCHEZO,NI MAPINDUZI MAKUBWA TENA SANA..LIPUMBA NI MSHENZI,MBWA,MSALITI,HAYAWANI,HAMNAZO,FYATU,SHOTI.KUMBE NDIO MAANA LEO HII ANA UMRI WA MIAKA 67 HANA MKE,HANA MTOTO,HANA MCHUMBA,HANA AKILI.

    ReplyDelete
  2. sasa matusi ya nin?????
    AIBUUUU

    ReplyDelete
  3. Naomba police mmsake huyo kwa kosa la kutoa matusi mtandaoni kama sheria ya mtandao inavosema.

    ReplyDelete
  4. Police kamata huyo kwa kosa la kumtukana Lipumba hadharani mtandaoni kama sheria ya mtandao inavosema.

    ReplyDelete
  5. We mbwamwitu koma kabisa kumtukana Profesa, eti hana mke....anamfira baba'ko!! choko kabisa nyinyi chadema, mnajifanya mnamatusi sana, basi sisi CUF ndio tuna 'degree'. Kwanza mmetuingiza chaka bovu, na bado mnamtukana profesa, wakati aloyasema yote ni kweli tupu, chadema hamna dira wala mwelekeo, hilo FISADI LENU lita-wacost, uchaguzi umekwisha, lakini bado mnaota ndoto za kampeni. Haogopewi mtu hapa, mkitukana tutatukanana...HAPA NI HAKI TU

    ReplyDelete

Top Post Ad