Ali Kiba Aguswa na Maneno ya Ruby..Amuomba Msamaha Baada ya Kumfananisha na Mbwa...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ali Kiba Ameshutumiwa na Mwanamuziki Ruby kuwa amemfananisha na Mbwa alipokuwa akihojiwa kwenye kipindi cha Sporah Show..
Ali Kiba Amemjibu Ruby Kupitia Ukurasa wake wa Insta na kumuomba msamaha lakini post hiyo haikukaa sana kwani aliifuta baada ya muda si mrefu ila tumeipata na kukuwekea hapa chini;


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kiba wala hakumwita yeye mbwa
    huyu dem amejistukia
    ila sishangai kwa kiba kutumia ilo jina coz majina mengi ya ruby wanapewa mbwa

    ReplyDelete
  2. ahsante @kingkiba fundi wa mafundi

    ReplyDelete
  3. Kiba huwa ana vijimaneno vya ajabu sana alafu akibanwa anasema hakumaanisha hivyo, aache ujinga wake watu wote tunauelewa asidhanie hatujui tudadavua maana ya maneno ya kijinga ambayo huwa anaongea aache utoto.

    ReplyDelete
  4. Ubarikiwe king kiba umefanya la maana msamaha Na maelezo saaafi

    ReplyDelete
  5. Kiba speed ya mziki WA kibongo inakuzidi uwezo ,unakimbizwa na vijana kibao.... Hyo ya kutumia majin ya wnzio kwa wnyama xx Ni kutafutwa kuandikwa na media tujue uwepo Wako, kk jua linazama

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata mbwa wangu anaitwa Ruby,hapo je?

      Delete
    2. Wabongo tunapenda ujinga na
      kuwachonganisha,mimi nina paka anaitwa Mona na nina mbwa anaitwa Tracy.Au tuambieni majina yanayofaa kupewa wanyama basi.

      Delete

Top Post Ad