Baaada ya Home Shopping Center, UDA Nayo Yatangaza Kufilisika..Wadau Wadai ni Ujanja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Home Shopping Center, sasa Robert Kisena naye atangaza UDA kufilisika. Wadau wadai ni janja ya kukwepa mkono wa sheria.

Yeye adai ni kutokana na madeni makubwa anayodaiwa ambayo yanazidi fedha zilizomo kwenye akaunti ya UDA.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Chezea ridhiwani Na Msoga

    ReplyDelete
  2. Ndo hivi Viongozi wa ngazi za juu wa CCM wanavyoihujumu nchi. Hizi kampuni zote mbili ni vigogo wamo.Wazuiwe wasisichukue hata chepe. Taifisha mali zao zote nje na ndani. Sasa watanzania mnajionea wazi majipu yaliyojimilikisha nchi kuwa yao.Na bado hatujayaona makubwa waliy0yatenda. Hapo ndipo nchi na Wote waliowaunga mikona watashangaa.
    Mungu ibariki nchi hii na watu wake. Umlinde Magufuli atende haki kwa Watanzania bila woga.

    ReplyDelete

Top Post Ad