AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ester Bulaya Ameandika Maneno haya Baada ya Ushindi wa Mahakamani;
"Nilimshinda Wasira kwa wananchi, na leo nimemshinda kisheria, Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imetupilia mbali kesi ya Uchaguzi dhidi yangu, iliyofunguliwa na wapambe wa wasira. Mungu husimama na watu waliowema. Nakutumaini mungu wangu na wewe ndiye mlinzi wangu.Asante sana Wananchi wangu wa Bunda Mjini mliokwenda Mwanza kusikiliza Hukumu. Mbunge wenu nipo dodoma tayari kwa kuanza vikao vya Bunge Kesho." Ester Bulaya
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hongera Bulaya kutuondelea mkoromo bungeni
ReplyDeleteNyumba karudisha hili zeeeee
wazee km hawa hata sisi wana ccm hatuwahitaji tena maana wameshakua mizigo.
ReplyDeleteEnter your comment...penda sana wewe bi dada yani bungen wewe ndo jicho langu nakupenda sana kwa busara zako
ReplyDeleteHer kumbe huyu mzee yupo rafiki zk kina kawawa Na nyerere washakufa sk nyingi
ReplyDelete